Mtendaji Iringa amejiua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtendaji Iringa amejiua!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kituro, Apr 18, 2011.

 1. k

  kituro Senior Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimesikia kidogo nilikuwa nafika tarifa ndo wanamalizia kuelezea ila inasemekana alikuwa na shutuma na mambo ya ruzuku aliyesikia vizuri atujuze?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  kama ni mhehe basi No wonder!
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  KATIKA KILA KUNDI LA WANA-CCM 10 UTAKAOKUTANA NAO 08 NI WEZI WA MALI YA UMMA

  Mtendaji wa nini huko Iringa, au wa CCM kasikia Nguvu ya Umma tunakwenda kuwashika wakarejeshe walichokipora???

  Gamba walilolichokoza ilikuwa ni hoja-mtego itakayokimaliza kabisa CCM. Maana yake ni kwamba endapo mnyama mkubwa kama tembo mwili wake wote ni magamba sasa akianza kujivua gamba moja baada ya nyingine basi matokeo yake ni kwamba hata atakapofikia saizi ya mwili sawa na dawa ya piritoni bado haja ya kujivua gamba zaidi itakua inaendelea tu.

  CCM katika hii dhana ya 'Kujivua Gamba' hapo ndipo kunasa kwenu jumla kwenye ndoano rahiiiiiiisi mno!!! Vueni hiyo migamba enyi wana-CCM mnaoelemewa na mizigo ya kutupora kila kitu nchini.

  Katika hili nadhani Watanzania tuchange ili tukajenge Mi-jela zaidi ya kuwafungia wana-CCM endapo kweli kutakwepo na haja mioyoni mwao kujirudi na kweli kila mmoja wao 'Kujivua Magamba' sugu ya miaka nenda rudi kwa kuwaibia Watanzania.

  Hili ni kutokana na ukweli kwamba katika kila kundi la Wana-CCM 10 utakaokutana nao 8 ni wezi wa mali ya umma ama kuendelea kufaidika nazo bila ustahili wowote.
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwetu sisi wahehe ni jambo la kawaida.
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Aminia wahehe big up natamani ra,lowasa na chege wangekuwa wahehe kungekuwa shwari maana wangefanya kama huyo mtendaji
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Masikini Chama Cha Magamba!...............poleni sana kwa kupoteza jambazi lenu moja

  Na mwaka huu ni nguvu ya umma tu mpaka mmjimalize
   
 7. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Huyu mtendaji 'AMEJIVUA GAMBA' kweli kweli!
   
 8. W

  We can JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimepita pembeni!
   
 9. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Hehehe! Mwaka huu mtaona magamba mengi sana! Na bado mpaka kieleweke!
   
 10. M

  Mzee wa Upekuzi Member

  #10
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe unafikiri ukaguzi mchezo, ngoja Zitto nae aue wengine na fedha za Stimulus Package!
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Alikula 26m za maendeleo ya kijiji!chini ya ccm tumechoka kusikia ufisadi mmetunyonya vya kutosha!
   
 12. b

  binti ashura Senior Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  tunashukuru kwa kutujuza!
  dhambi ni mbaya sana! malanyingi dhambi hutengeneza mazingira ya kutenda dhambi nyinginezo. nikizungumza hivi inaweza kuwa vigumu kueleweka! kama kweli aliiba au poteza mali ya uma hiyo nayo ni dhambi. kachukuwa jukumu la kujiua hiyo nayo ni dhambi! dawa ya dhambi ni kutubu na siyo kujiua!.
   
Loading...