Prof. Sechambo afariki dunia leo asuhi

Prof. Sechambo afariki dunia leo asuhi

mapambio

Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
29
Reaction score
0
Ni yule aliyekua mhadhiri wa UDSM...amefia Sekuco MAGAMBA alikokua anafanyia kazi tangu ahame...Source: Mimi mwenyewe, ni ndugu yangu,nimepokea taarifa asubuh hii, na ku confirm
 
Mungu alitoa na mungu ametwaa jina la bwana lihimidiwe, mungu amlaze penye stahiki ya matendo yake
 
poleni sana ndg zetu,mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu,pengo si kwenu tu bali taifa hili bado lilikuwa linahitaji sana mchango wake!






mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema amina.
 
Poleni sana ndugu, lakini ni Sechambo wa UDSM Faculty gani? Namfahamu mmoja wa IRA hapo hapo UDSM.
 
Ni yule aliyekua mhadhiri wa UDSM...amefia Sekuco MAGAMBA alikokua anafanyia kazi tangu ahame...Source: Mimi mwenyewe, ni ndugu yangu,nimepokea taarifa asubuh hii, na ku confirm
Poleni sana wafiwa wote na RIP prof
 
Nmekuwa UDSM ila simfahamu, mtu mwenye details anikumbushe, POLENI WAFIWA ANA RIP Prof.
 
RIP Prof ni yule aliyekuwa UDSM Institute of Resorce Assesment (IRA) na mazishi yatakuwa kesho
 
I am shocked, alikuwa mpiga kinanda pale CCT chaplaincy ibada ya saa nne!! mmhh nimeumia sana maana aliamua kurudi home kuwatumikia ndugu zake hapo Sebastian Kolowa University College!! Pumzika kwa amani baba
 
Back
Top Bottom