Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baraza la Mawaziri latupiwa lawama kukubali wakimbizi NA DEGE MASOLI 17th May 2011 Baraza la Mawaziri limetupiwa lawama kwa kile kilichodaiwa kumshauri vibaya Rais Jakaya Kikwete, kuhusiana na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu hebu tujaribu kutoa mchanganuo wa wizara mojawapo hapa nchini mwetu halafu tuone kama kuna tija kwa mtu wa mwisho(mlipa kodi) nianze na mchanganuo wangu 1.kumkaribisha mh rais...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika hali ya wahadhiri vyuo vikuu kuendelea kuwatumia wanachuo kama sehemu ya kutimizia haja zao na kuonyesha umaarufu wao,sasa umeingia sura mpya baada ya Mwalimu mmoja(jina tunalo)wiki...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwema makaka na madada, I was abit tight ndo maana nimepotea jamvini, bahati mbaya simu yangu ni ya buku 15 na sina laptop hivyo the only means that I can use to access internet ni kwenda kwenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
LAGOS, Nigeria MUUMINI wa dini ya kiislamu anayetibu kwa tiba za jadi katika mji wa Bida, Nigeria, Bello Maasaba, ambaye alikamatwa kwa kuoa wake 86, ameendelea kuoa na kufikisha wake 107. Taarifa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndg waungwana nipo kwenye bus la super champion linalokwenda Dodoma nusura litubwage baada ya kupasuka Tairi la mbele likiwa kwenye mwendo kasi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nikama miujiza! Kwaharaka ukiona nikama vile taasisi ya kulea vikonge ikijiandaa kuwapa msaada wazee hao kwajinzi walivyo na furaha wakiimba nyimbo za kisukuma! Katu kwamacho yangu ya nyama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Monday, 16 May 2011 11:25 Daniel Semberya DAR ES SALAAM, TANZANIA -The International Monetary Fund (IMF) has advised the Tanzanian Government to review its fiscal policy in order to curb its...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Naandika habari hii kwa masikitiko makubwa, Nina mashaka na ubunifu na uelewa wa baadhi ya viongozi katika nchi yetu hasa kwenye masuala ambayo yanaonyesha taswira ya Taifa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuanzia asubuhi ya leo 17 may 2011, wakazi wa Dar es Salaam ukipiga simu inakwenda kwa mtu mwingine bila kukusudia, sijui tatizo ni nini? wengine mpaka tumetukanwa
0 Reactions
11 Replies
1K Views
BAADHI ya wakazi wa Manispaa wametakiwa kuacha imani potofu ya kunywa majivu kabla ya kujamiina kwa madai kuwa kwa kufanya hivyo ni kujikinga na maambukizi mapya. Mratibu wa Ukimwi Shinyanga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, Nimefanya utafiti wa kina kwenye jukwaa ili la Siasa kupitia Thread mbalimbali, hii Thread ya Nape muanzilishi wa CCJ, nimepima upeo Chadema JF, wengi ni Low pamoja na kuona picha ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
kikao cha sekretariet ya ccm mkoa Arusha kilichokutana leo kumjadili mjumbe wa baraza la vijana Taifa,mrisho gambo kimeshindwa kufanyika baada ya mashahidi au wanachama waliokuwa wanamtuhumu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
... kwa hisani ya Glopal Publishers Tz Ltd.. WASANII PIGO Makongoro Oging’ na Rhobi Chacha Wingu la majonzi limefunika tasnia ya filamu Bongo na kutoa pigo kuu kufuatia kifo cha kutisha cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baadhi ya Wana JF Bwana mtu kasikia Radio one Breaking News Naye anleta humu eti nayo ni breaking News!! Haya tujipange kuwa na habari motomoto siyo Kila kitu ni breaking News zingine ni Broken...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Speech by Mwalimu Julius K. Nyerere at the Opening Ceremony of the Second Meeting of the Council of Representatives at the U.N. Trusteeship Council in New York on the 21st September 1998 Council...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kuanzia kesho tarehe -- 16.05.2011-- nauli ya daladala nchi nzima iwe shilingi elfu tano (5,000) tu kwa kila abiria bila kujali kuwa ni mtu mzima au mwanafunzi.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu wana JF hebu tulijadili hili la kubadilisha leseni. Nasikia unaenda kozi ya wiki2 na unalipa laki 2. Nauliza kuna nini kipya huko? Halafu hii laki2 ya nini kama siyo kutunyanganya haki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwasababu hili jukwaa lina watu wenye kada/uzoefu/taarifa mbalimbali nadhani naweza kupata majibu. Binafsi nimekuwa najiuliza maswali mengi kuhusiana na makazi ya watu yaliyopo pale kunduchi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
RAIA wa China, wamekufa maji baada ya kuzama wakati walipokuwa wakiogelea katika ufukwe wa Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kinondoni, Charles Kenyela amesema kuwa tukio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…