Alimanusura Bus la SUPER CHAMPION lipate ajari

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,757
Reaction score
449
Ndg waungwana nipo kwenye bus la super champion linalokwenda Dodoma nusura litubwage baada ya kupasuka Tairi la mbele likiwa kwenye mwendo kasi
 
poleni sana ndugu. bila shaka mmefika salama
 
Ndg waungwana nipo kwenye bus la super champion linalokwenda Dodoma nusura litubwage baada ya kupasuka Tairi la mbele likiwa kwenye mwendo kasi

pole sana mkuu, hapo kwenye red... (nimekuelewa ila...)
 
Back
Top Bottom