Chadema kuweni makini kwenye kuchangia kwenye Jukwaa la Siasa

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,973
32,368
Wana JF,
Nimefanya utafiti wa kina kwenye jukwaa ili la Siasa kupitia Thread mbalimbali, hii Thread ya Nape muanzilishi wa CCJ, nimepima upeo Chadema JF, wengi ni Low pamoja na kuona picha ya Nape ni FAKE na bado watu wanakuwa Priority ata kama wamejua ni uongo hapo ndio nikajua kuna aina nne (4) ya wana Chadema.
1. Chadema-Argue
2. Chadema-Argument
3. Chadema-Argumentation
4. Chadema-Kata. ukitaka kuwajua ni aina Topic zao. wengi ni Chadema-Kata na Chadema-Argumentation, badilikeni nyie Chadema
 
kwa taarifa yako sisi si wana chadema ila tumechoka na propaganda za CCM kutufanya sisi ma zumbukuku ulimwengu uko huku wakati maisha yanazidi kupanda.

Pamoja na hali ngumu ya maisha nyie mnataka kuendelee kusema "Zidumu fikra sahihi......." kaka tumeerevuka tunajua haki zetu, hakuna CHADEMA wala CUF sisi ni wananchi tunaoumia na hali mbaya ya maisha na CCM ndiyo imetufikisha hapa tulipo.

Lazima tuki support chama chochote ambacho tunaona kitatetea maslahi yetu - ongea hoja za msingi ndugu yangu tupo 2011 na si 1980's wakati wa gazeti la mfanyakazi, mzalendo na uhuru .... ha ha ha ha ha

Umekwishaa.....
 
Jamani,sijui umesoma wapi wewe!
nahisi ndo wale wanaofeli Tanganyika na kukimbilia uganda!
lakini nako ntakua nime kupandisha chati saha,au ndo NAPE WEWE?
maana facebook unaandika utumbo tupu kama huu
 
Hivi kila anayekosoa ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka, uendeshaji mbovu wa serikali, upotoshaji nk. ni mwana CHADEMA?
Kuwa makini Mwana Jamvi wengi wetu humu ni waumini wa "TANZANIA KWANZA".
 
Ritz,
Everybody knew that the picture was fake,it was made as a catalist to that astonishing news.So the debate was clearly based behind the story not the photoshoped pic.
 
Wana JF,
Nimefanya utafiti wa kina kwenye jukwaa ili la Siasa kupitia Thread mbalimbali, hii Thread ya Nape muanzilishi wa CCJ, nimepima upeo Chadema JF, wengi ni Low pamoja na kuona picha ya Nape ni FAKE na bado watu wanakuwa Priority ata kama wamejua ni uongo hapo ndio nikajua kuna aina nne (4) ya wana Chadema.
1. Chadema-Argue
2. Chadema-Argument
3. Chadema-Argumentation
4. Chadema-Kata. ukitaka kuwajua ni aina Topic zao. wengi ni Chadema-Kata na Chadema-Argumentation, badilikeni nyie Chadema
Avatar yako inaonesha kama ni mtu mzima lakini mambo unayoyatoa kama vile aujaenda shule.
Ritz=Nape=Nepi
Sio kila mchangiaji humu jf ni chadema,hayo ndio madhara ya kuklemu.
 
Huyu ni Chadema-Kata. ni msomi mzuri kasoma na Adrwe Chenge pamoja Dk Daudi Balali, wakati mungine uwa nadhani wewe ni Spika Makinda mnafanana sana mpaka kuongea. lakini ni wewe vipi umefungua ile barabara ulioifunga wakati unajenga nyumba yako?
 
mh na ile picha nape anagawa khanga kwa wanaume vipi? Msitake kuwafundisha wanaume tabia zenu za kuvaa khanga ahaa hamna hata aibu
 
Hivi kila anayekosoa ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka, uendeshaji mbovu wa serikali, upotoshaji nk. ni mwana CHADEMA?
Kuwa makini Mwana Jamvi wengi wetu humu ni waumini wa "TANZANIA KWANZA".

Mdau umetoa angalizo la kweli...walio wengi humu tunatoa michango kwa kuangalia Tz tuitakayo kwa manufaa ya wote..najua pia wapo wenye mirengo ya vyama humu,hilo si kosa lakini inapotokea kutuhumiana kua kila nayehoji ufisadi ni CDM huko ni kupotoka na kukurupuka!!!mimi nilishakutana na hili katika kongamano fulani la wadau ambako kila aliyehoji uovu aliitwa CDM..kwa kufanya hivi hatufiki.Kuna haja ya kuelewa umuhimu wa kuhoji pale mambo yanapokuwa hayaendi..habari ya itikadi za chama tuwaachie hao waliokunywa maji ya bendera na kufanya mambo kwa mob psychology wabaki na zidumu fikra za mwenyekiti. ...facts daima.
 
Ritz,
Everybody knew that the picture was fake,it was made as a catalist to that astonishing news.So the debate was clearly based behind the story not the photoshoped pic.

Na wasiwasi kama amekuelewa, ung'eng'e kabisa.
 
Wana JF,
Nimefanya utafiti wa kina kwenye jukwaa ili la Siasa kupitia Thread mbalimbali, hii Thread ya Nape muanzilishi wa CCJ, nimepima upeo Chadema JF, wengi ni Low pamoja na kuona picha ya Nape ni FAKE na bado watu wanakuwa Priority ata kama wamejua ni uongo hapo ndio nikajua kuna aina nne (4) ya wana Chadema.
1. Chadema-Argue
2. Chadema-Argument
3. Chadema-Argumentation

4. Chadema-Kata. ukitaka kuwajua ni aina Topic zao. wengi ni Chadema-Kata na Chadema-Argumentation, badilikeni nyie Chadema

stereotype

huu ni ukilaza .... sijui urgument yako iko wapi katika hii listing
 
Ritz,
Everybody knew that the picture was fake,it was made as a catalist to that astonishing news.So the debate was clearly based behind the story not the photoshoped pic.

Mbona unapotosha makusudi unataka kuniambia hiyo picha Fake ya Nape ndio imechochea haya madadiliano? wakati Chadema-Kata JF wengi walikuwa nafata mkumbo tu na hiyo picha wanajua ya ukweli
 
sishangai ... hata avatar yako inaonyesha huna meno wala ulimi .....

at the plinth level
 
Avatar yako inaonesha kama ni mtu mzima lakini mambo unayoyatoa kama vile aujaenda shule.
Ritz=Nape=Nepi
Sio kila mchangiaji humu jf ni chadema,hayo ndio madhara ya kuklemu.
Hapo kwenye red sijui lugha gani huyu jamaa katumia
 
Back
Top Bottom