Vikongwe wafurika kumlaki Mkama

Vikongwe wafurika kumlaki Mkama

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,027
Reaction score
20,518
Nikama miujiza! Kwaharaka ukiona nikama vile taasisi ya kulea vikonge ikijiandaa kuwapa msaada wazee hao kwajinzi walivyo na furaha wakiimba nyimbo za kisukuma! Katu kwamacho yangu ya nyama sijaona kijana au mtu wa makamo labda kijana alikuwa ni Nape na mkama. Chanzo tbc Bunda!
 
Nikama miujiza! Kwaharaka ukiona nikama vile taasisi ya kulea vikonge ikijiandaa kuwapa msaada wazee hao kwajinzi walivyo na furaha wakiimba nyimbo za kisukuma! Katu kwamacho yangu ya nyama sijaona kijana au mtu wa makamo labda kijana alikuwa ni Nape na mkama. Chanzo tbc Kahama!

nimeona kwenye tbc sasa hivi
 
CCM kwisheniiiiiiiii, Nape atajiharia siku zake zikifika atapigwa chini na wazee wa magamba
 
umenifurahisha mkuu kwa sababu nimetoka kujibu ujumbe wa mtu mmoja hapa jf kuwa kwenye mkutano wa mkama bunda ulijazwa na wazee waliosoma na mkama shule ya msingi na secondary kubalini kataeni ndivyo ilivyo
 
hao magamba wataendelewa kusapotiwa nawazee coz hao wazee ndo waliioona uzuri wa CCM chini ya mwalimu lakini sisi wengine we've only heard history sasa hivi CCM ni dudu liumalo usijaribu kulipa kidole
 
a hopeless party that will end up gnawing its teeth while a truly peoples party takes power amid relief to watanganyika. i have never loved you CCM. since i was young you thought i will join CHIPUKIZI as it was called then! but i threw away zile nguo za chipukizi na sikwenda kwenye mafunzo, mlishindwa kunivutia km ambavyo mpira wa makaratasi ulivyokuwa unanisuuza roho nikiucheza uwanjani, nenda kuzimu ccm buriani ccm
 
hao magamba wataendelewa kusapotiwa nawazee coz hao wazee ndo waliioona uzuri wa CCM chini ya mwalimu lakini sisi wengine we've only heard history sasa hivi CCM ni dudu liumalo usijaribu kulipa kidole
Tena si ajabu wanajua Nyerere bado ndo raisi wa Tanzania! No disrespect kwa wazee wetu but I hate to see them used by magamba na kurubuniwa kwa vipande vya Kanga kama tulivoona picha ya Napu akitoa mgao wa kanga Singida. Shame on u magamba stop humiliating our elderly with cheap bribes!!!
 
Wazee hawa, ni haki yao kabisa kumlaki mkama. Kwani bado wanaendelea kudumisha fikra za mwenyekiti wa chama. Akija kwetu Kibondo twn na Kasul twn na vijjni, watu watataka wamwone kisha wakaendelee na shughuli. Yaani tangu Mkulu wa nchi aseme kuwa umeme utakawia kwa sababu ya VIUMBE vilivyomo mtoni Malagalasi (vyura). Watu hatuna hamu kabisa!!
 
Wazee hawa, ni haki yao kabisa kumlaki mkama. Kwani bado wanaendelea kudumisha fikra za mwenyekiti wa chama. Akija kwetu Kibondo twn na Kasul twn na vijjni, watu watataka wamwone kisha wakaendelee na shughuli. Yaani tangu Mkulu wa nchi aseme kuwa umeme utakawia kwa sababu ya VIUMBE vilivyomo mtoni Malagalasi (vyura). Watu hatuna hamu kabisa!!
 
Nikama miujiza! Kwaharaka ukiona nikama vile taasisi ya kulea vikonge ikijiandaa kuwapa msaada wazee hao kwajinzi walivyo na furaha wakiimba nyimbo za kisukuma! Katu kwamacho yangu ya nyama sijaona kijana au mtu wa makamo labda kijana alikuwa ni Nape na mkama. Chanzo tbc Bunda!
Acheni siasa za kitoto kwani vikongwe sio watanzania?
 
slaa ni kijana sio

mbowe,zitto,mnyika,lissu,lema,j.mbilinyi ni wazee sio.
Wewe ni great thinker I guess!ninaposema kuwekeza kwa vijana namaanisha cdm inahutubia vijana,inavutia vijana
inawapa madaraka vijana,inaenroll vijana e.t.c
vijana ndio wapiga kura wa 2015 na kuendelea kwa hiyo chama kinachopendwa na vijana leo ndio kitakachoshika madaraka kesho(sio ter 18/5/2011)
vikongwe wako ukingoni,kuna mambo mawili; moja hawatakuwepo ifikapo 2015,pili hawatajitokeza kutokana na mikimiki ya uchaguzi.

nasikitika jf imevamiwa na vilaza wasioweza kupambanua mambo.ukitaka nikueleweshe kwa lugha yako ya kihindi ntafanya hivyo!!
 
These days ni imekuwa vigumu sana kumobilize vijana. Hao wazee huwa wanapatiwa menu kidogo na sehemu nyingine arrangements zinafanywa wanapata local brew basi life goes on..
 
Nakubalina na mtazamo wako. Kuna watu humu JF ni kama vile wanalazimishwa kuchangia. Simple reasoning tu mtu hawawezi kufanya.
 
These days ni imekuwa vigumu sana kumobilize vijana. Hao wazee huwa wanapatiwa menu kidogo na sehemu nyingine arrangements zinafanywa wanapata local brew basi life goes on..

Kijana huheshimu wazee! Hii kali nimecheka sana!
 
Sii muda mrefu tutasherekea ukompozi mpya wa watanzania. kifo cha cc-magamba kii mlangoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom