Bajeti ya wizara****

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
Wakuu hebu tujaribu kutoa mchanganuo wa wizara mojawapo hapa nchini mwetu halafu tuone kama kuna tija kwa mtu wa mwisho(mlipa kodi)

nianze na mchanganuo wangu

1.kumkaribisha mh rais atakapotembelea wizara
2.kupeleka wajumbe kwenye semina elekezi
3.kununu samani za ofisi
4.kununua magari mapya ya wizara
5.semina elekezi kwa wakuu wa idara na wadau katika wizara husika(itaandaliwa na wizara husika).
6.safari za mawaziri,katibu mkuu ili rais awasikie
7.safari za nje ili kubadilishana ujuzi
8.semina kwa wadau mbalimbali wa sekta inayosimamiwa na wizara including sekta binafsi
9.kusomesha watumishi wa wizara(on job training)
10.kuajiri watumishi wapya
11.matangazo mbalimbali ya wizara pamoja na uhamasishaji
14.uendeshaji wa wizara
15.kulipa madeni ya wizara
16.kutembelea miradi ya wizara
17.kusimamia miradi ya wizara
18.miradi ya maendeleo kwa wananchi
19.vikao vya kuandaa bajeti na ripoti kwa wahisani.
20.matumizi ya dharura.

Wakuu naomba mnisaidie kuweka kiasi cha fedha zinazotumika kwa mambo tajwa hapo juu,naamanisha proportion(%) ya bajeti ya wizara *****

nawasilisha.
 
Back
Top Bottom