Tigo mnatupa usumbufu mkubwa sijui ni Dar es Salaam peke yake au na mikoani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo mnatupa usumbufu mkubwa sijui ni Dar es Salaam peke yake au na mikoani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mshume Kiyate, May 17, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuanzia asubuhi ya leo 17 may 2011, wakazi wa Dar es Salaam ukipiga simu inakwenda kwa mtu mwingine bila kukusudia, sijui tatizo ni nini? wengine mpaka tumetukanwa
   
 2. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pole.......ila sijui mnang'ang'ania huko kwanini?Ovyo kabisa...
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Leo wanamatatizo ya cross-talks ambapo kumekuwa na random system congestions, na hawana kabisa links leo ktk branches zao. Hivyo wapo down tangu asbh ila naona sasa mambo yameanza kuwa shwari.
   
 4. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kila kitu hovyo hadi ss hivi mm nimeunganishwa na m2 nisiyemjua hlf ikakatika, internet yao mbovu sana mpaka tigo pesa haifai kabisa kwa leo.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  bure gharama jamani!
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Hawa tigo watu wa hovyo sana,...waizi,mtandao hovyo,huduma hovyo,..kila litu ovyo ovyo tu,.......ntawahama sasa
   
 7. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Wasipojiangalia mda si mda wataanza kuloose..kwann wasiboreshe huduma ilohali tunawalipa pesa nyingi tu,alah!
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Piga chini tu!wakiboresha mnarudi.
   
 9. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  jamani kila siku hamlioni lile tangazo kwenye tv?? Wachaneni na kibito kibovu cha bluu kile,,, hamieni kwenye bonge la luxury bus jekundu,,,,
   
 10. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nami pia nimepigiwa cm na mtu ambaye cmfaham ye yuko Zenj me Rocky City eti ananimbia jion hii tuonane pale Makunduchi.?
  hao jamaa naomba wawe makini na huduma zao na hilo jina(tgo) wachange coz huleta maana tofauti.
   
 11. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  tiGO
  Express your Self


   
 12. K

  Kilongayena Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania hii hakuna mtandao unaoweza kuutumia bila matatizo 100%, wote wasanii tuu wamekuja kutunyonya tu washibe then waondoke lakini kiama chao kitakuja tu, tatizo hata nchi zetu zimekosa viongozi wote madodoki tu wanaendeshwa na wawekezeji tu, cha kukusaidia wewe uwe na laini zote tu ukizinguliwa huku badilisha hivyo hivyo.
   
Loading...