Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na Tumaini Makene MWENYEKITI wa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Freeman Mbowe amesema kuwa kasi ya mabadiliko ya siasa za mageuzi hadi vijijini si matokeo ya nguvu za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Amani iwe juu yenu wanajamvi wenzangu? Kwa miaka kibao sasa makampuni ya simu za mkononi hapa nchini (pengine hata nje ya nchi) yamekuwa yaki-promote biashara zao kwa michezo mbalimbali ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo nimemtumia ndugu yangu pesa kwenye akaunti yake. NMB wamenitoza alfu lakini hawakunipatia risiti. Je, TRA wamewaruhusu kutuibia? Mwisho wa siku NMB watajitangazia faida kutokana na Alfu zetu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi jamani si ni huyu Kagasheki aliyekwenda kwenye huo mgodi wa North Mara kipindi cha nyuma aliyegeuka kama mbogo aliyejeruhiwa akidai kuwa uongozi wa Barrick umemdangaya ktk sakata la maji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Arusha , imemtia mbaroni na kumfikisha mahakamani askari Polisi Jamal Omari wa kituo kidogo cha Polisi cha ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
One evening an old Cherokee told his grandson about a debate that goes on inside people. He said,"My son, the battle between two wolves is inside us all. One is Evil. It is anger, envy, jealousy...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ki-ukweli kaka wengi wanasema mengi kuhusu tabasamu lako na uvivu wako katika kukemea na kufuatilia bila kumuachia pumzi kwa yule unaye mbana, mimi nimefahamu sasa kuwa vyote hivyo ni kutokana na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nowadays kuwa mbunge wa chadema ni raha sana! Huku unapiga fedha za ubunge,huku unalipwa posho ya kuandamana vijiji vyote vya tanzania! Wakivimaliza hivi vijiji akina mnyika watakuwa matajiri...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu Wanajamvi, Nilikuwa 'nachat' na mkenya mmoja akaniuliza "Hivi na nyie vitu vimepanda bei kama huku kwetu?". Nikamjibu "Ndiyo tena Chama Cha Upinzani, CHADEMA kinafanya maandamano nchi nzima...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mildred Patricia Baena is the mother of Arnold Schwarzenegger's out-of-wedlock child, according to ABC News. Baena, who goes by Patty, reportedly had the child about 14 years ago. She worked for...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani mimi nimeamua kujivua gamba rasmi na si mwanachama wa Chadema tena hapa Arusha, bado sijaamua niingie chama gani ila nipo nipo kwanza nikiangalia chama muafaka. Magoma nitafute nikukabidhi...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Balozi Seif Iddi na Waziri Nahodha jibuni hoja hizi za Uamsho May 18, 2011 by zanzibardaima Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi ndo tuseme Dar hiii hakuna mapori ya kufundishia polisi kutumia siraha? Naamini kabisa kwamba,hadi unafikia kuvaa magwanda ya polisi na kubeba siraha unakuwa unajua jinsi ya kuitumia...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndg zangu, niliwahi kusikia kuwa kuna mkakati wa kuboresha kilimo Tanzania maarufu kama 'kilimo kwanza'. Mimi ni mkazi wa kjjn kabisa(kagera). Huku kwetu sioni mbolea wala trekta wala hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mweshimiwa rais nnajiuliza maswali mengi sana siku utakapoanza kutembelea wanachi wako kama kawaida ya marais wanavyofanya,maswali haya yanatokana na jinsi wabongo walivyoamka na wana hasira...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Miaka 50 ya uhuru umeme tu umetushinda!ni laana,ni bahatai mbaya,ni ujinga,ni umaskini wa fikra,ni kupumbazwa au ni kitu gani hiki kinacho sababisha tusherekee miaka 50 ya uhuru wetu bila ya kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Reginald Miruko Sekretarieti ya CCM inaendelea na kampeni mikoani kuhusu KUJIVUA GAMBA. Lakini ghafla wimbo wao umebadilika, chorus ya 'mafisadi ndani ya CCM' ikawa 'Mafisadi wa CHADEMA'...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, leo nimesikia radioni kuwa TRA wanaichunguza CHADEMA kwa ukwepaji kodi! Kama kuna mtu anajua kinachoendelea hebu atupashe.
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Ndugu Zangu, Pichani ni ' Chifu' wa mtandao wa Tanzanet, Mzee Yussuf Kalala. Nilikutana nae Dar jana. Tuliongea kwa kirefu. Mzee Kalala ana mengi ya kuelimisha, ikiwamo maarifa ya kihistoria...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
eti wanajf ni kweli ukitaka kua tajiri jiunge ccm? Eti hata visa haupewi bla kua na kadi ya ccm,ni kweli naombeni msaada.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…