Mjomba unalijua hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjomba unalijua hili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by msumbufu, May 18, 2011.

 1. msumbufu

  msumbufu Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ki-ukweli kaka wengi wanasema mengi kuhusu tabasamu lako na uvivu wako katika kukemea na kufuatilia bila kumuachia pumzi kwa yule unaye mbana, mimi nimefahamu sasa kuwa vyote hivyo ni kutokana na wewe kuwa ndivyo ulivyo nothing to change. kwahiyo tuahidi tusitegemee lingine ilitujue huna jipya mpaka utakapo maliza mafunzo yako ya miaka mitano. dah! shilingi yetu kwisha kazi ila nakumbuka ulijipigakifua na kusema tumeachwa vizuri ktk mengi na yule aliyekutangulia ktk mafunzo hayo ambayo mnapokezana, sasa sijui kama nawe utamwacha vzr ajae kwa madeni haya ambayo hayalipiki kirahisi.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Imetulia hii. Ujumbe utakuwa umemfikia!
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  We jail the petty thieves and appoint the great ones to public office.
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  jogoo awike au asiwike lakini kutakucha tu
   
 5. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  nalijua hilo mjomba kuwa hasira za yule mzee alietaka mchumba wake akazalie ikulu bila ndoa huku akisemekana nimke wa mtu ni eti alifukuzwaga ktk kundi zamani, ww ulishawahi kuliona tabasam lake?
   
 6. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  watu 2po kwa football, then unaleta vipedo vya netball, c ungeuliza kwanza then ndo ufanye maamuzi?
   
 7. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Asante sana
   
 8. kyangara

  kyangara Member

  #8
  May 18, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Crap!Crap!Crap!
   
Loading...