KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Hivi jamani si ni huyu Kagasheki aliyekwenda kwenye huo mgodi wa North Mara kipindi cha nyuma aliyegeuka kama mbogo aliyejeruhiwa akidai kuwa uongozi wa Barrick umemdangaya ktk sakata la maji yenye kemikali leo hii unasahau kuwatetea wananchi wako unaanza kutamka maneno kama hayo hivi CDM ndo ilowaambia wananchi waende kuvamia mgodi? Hebu fikiria kama kati ya waliokufa angelikuwamo ni mtoto wako wa kumzaa hakika usingethubutu kuongea unayoyaongea sasa ungeliukumbuka ule udanganyifu ulopewa kipindi cha nyuma na kugundua kuwa kuna jambo linalohitaji maamuzi mazito kutatuliwa.