ukitaka kuwaweza, akiuliza hii akaunti ya nani unawaambia ya kwangu,maana hana mamlaka ya kuuliza id,hapo wanakua hawana ujanja.haingii akilini eti ukiweka pesa akaunti ya mtu mwingine watoze elfu!na pia huwezi lazimisha mtu aweke pesa kwenye tawi lake pekee! TRA ya tz ipo usingizini long room