Natamani ningekuwa mbunge wa chadema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani ningekuwa mbunge wa chadema!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tolowski, May 18, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nowadays kuwa mbunge wa chadema ni raha sana! Huku unapiga fedha za ubunge,huku unalipwa posho ya kuandamana vijiji vyote vya tanzania! Wakivimaliza hivi vijiji akina mnyika watakuwa matajiri sana,kwa siku si chini ya laki 2 kwa miaka 5,duh! Jamaa wanatumbua sana katika hii nchi maskini! Tuliowachagua wame2toselea mbali wenyewe wanatalii tu vijijini! Sijawahi kuona siasa ya kishamba namna hii duniani kote! Kwa staili hii ccm watatawala milele! Wabunge wachadema nawaonea wivu kwa maposho mawili mawili wanayoyapata!!POSHO ZA UBUNGE NA POSHO ZA KUZURURA NA PADIRI VIJIJINI
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Pesa za EPA ziko wapi?
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Go to hell!
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwa akili zako wewe siasa gani si kishamba ? Na nani kasema wanalipwa posho huko kwa siku ? Huu ni uzshi na nadhani unahitaji kueleweshwa .Ultaka waafanye nini sasa .Wanakijenga Chama chao na hakuna namna ni kuingia hadi vijijini kila wakiweza hili linakuumiza sana kwamba wanaimaliza CCM nguvu ? POle sana mkuu
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  sHEIKH simba 'maisha yamekuwa rahisi,mazuri,matamu ila JK anaandamwa kwa dini yake'
  Nape;CDM =cHAGGA
  jk+Makamba=CDM ni wakristo

  hivi ukiwa ccm ubongo unaozaaaaaaaaaaaaaaa
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  akili za Abbottabad
   
 7. T

  Tolowski Senior Member

  #7
  May 18, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi si ccm!naihate kwa sana tu,ila sikubaliani na hizi siasa za kishamba za chadema! Kama vipi wagoogle politics waone modern politics zinavyokuwa
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  modern politics ya ccm magamba?
  hii ya mtoto wa rais kuwa bilionea?
  hii ya houseboy wa binamu wa mke wa rais kutembelea benzi?
  au hii ya NAPE+JK ?
  AU UDINI wa JK?
   
 9. T

  Tolowski Senior Member

  #9
  May 18, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee unamtindio wa ubongo! Umeona wapi mtu anatoka nje ya kituo cha kazi halipwi! Kwa taarifa yako padiri muasi anapiga 700000 kwa kila siku1 anayozurura vijijini na wabunge wetu 2liowachagua watuwakilishe
   
 10. wasaimon

  wasaimon R I P

  #10
  May 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Mimi sioni kama kunatatizo kwani heri ya hao wanalipwa kwa kazi yanazozifanya na jua ya kwamba kuimarisha chama si kazi ndogo, inahitaji moyo kwani unaacha familia yako na kumbuka wakati fulani wanalala kwenye maeneo hatarishi, na jua ya kwamba wanalipwa kwa kazi stahili walizofanya na je wanoakula mishara hewa serikalini hawajulikani? Kwanini hawachukuliwi hatua? Umeona hizi za wabunge wa CDM ndizo zinakupa uchungu? Mbona huulizi pesa zinavyoliwa huko IPTL, SONGAS na kwingineko?
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Inalipa zaidi ukiwa CCM maana huko unakula mshahara wa ukuu wa wilaya, katibu mwenezi, coordinator wa taarab na muigizaji wa komedy. Achilia mbali bonus ya kugawa kanga na t-shirt. Trust me, payroll list ya ccm inajaza zaidi ya kurasa na what is so good hakuna perfomance assessmentt!
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Tolowski

  Today 01:26 PM
  #9 [​IMG]
  [​IMG] Senior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]


  Join Date : 28th April 2011

  Posts : 70
  Thanks 0 Thanked 10 Times in 6 Posts

  Rep Power : 21
   
 13. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Unasaka posti kwa nguvu...unaweza ongea na mods tu wakakupa hiyo status ya JF senior/Premium/Expert member kuliko kujaza upupu tu humu!
   
 14. f

  fikiriakwanza Member

  #14
  May 18, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee ukileta mambo ya kugoogle kwenye politics za kwetu huku utaula wa chuya.Jamaa wamejipanga hadi vijijini hivyo kuondoa lazima uzunguke kila kijiji kuwaondoa hawa jamaa.Na kuna msemo kuwa "Kila utakapokanyaga nimewapa huo ndio urithi wenu,Padri anatumia vizuri ahadi hii hivyo inabidi akanyage kila mahali utaona,chunguza vizuri kwenye uchaguzi uliopita popote walipopakanyaga walishinda.
   
 15. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  wewe raia wa nchi gani?
   
 16. T

  Tolowski Senior Member

  #16
  May 18, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siwezi kuwakosoa ccm kwani wameshindikana,wangapi wamesema na wameshindwa?! Bora niwakosoe cdm ambao nawaona kidogo wapo flexible and they can take something from our words
   
 17. T

  Tolowski Senior Member

  #17
  May 18, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bongoland! Ulikuwa kwenye lile kundi la wale jamaa 24 nini?
   
 18. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Iwapo wewe ni Mtanzania na Umejaliwa chembechembe ya Uzalendo huna budi kusifu jitihada zinazofanywa na Chadema katika kuelimisha Jamii. Posho uliyoitaja ni ndogo sana ukilinganisha na faida inayotokana na elimu inayotolewa. Kumbuka Usemi Usemao "wajinga ndio waliwao"..Kwa maandamano ya chadema naweza kusema yanawafanya watanzania watambue kwamba "wameliwa" sana na sasa wanatakiwa wafanye maamuzi wao wenyewe kujikomboa na hali hiyo. Kazi ya chadema inayofanyika sasa inaweza kufananishwa na kumpa "bibi fimbo na Miwani ili alinde shamba lake" . Watanzania walifikia mahali wanaitwa wadanganyika lakini kwa kazi ya chadema watanzania walio wanachama na wasio wanachama wamefumbuka macho. Hivi unaweza kweli kuzungumzia posho ya safari ya mbunge wakati watu "wanatafuna mabilioni EPA,IPTL,BOT..Lazima utakua hujatambua hali halisi. Siwezi kushangaa pale Chenge alipoziita Dola milioni moja vijisenti. Dili yake ya Rada ni "CHAMTOTO" UKIANGALIA EPA,IPTL n.k. Nakushauri kama unayoyasema yanatoka akilini mwako waache watanzania wapige mzigo wa kuelimisha wale ambao walichukuliwa "for a ride" for Years..Wananchi wa MBAMBABAY,LIULI,LITUHI na sehemu zote zile ambazo hata majina yake wengi hamjawahi kuyasikia.
   
 19. d

  dotto JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Akili zenu CCM ni posho tu. Kwenye mikutano mnasombwa na maroli na kulipana posho za Tshs.2,000 kwa kichwa. Aiiiiiiibu sana!!
   
 20. p

  plawala JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi inayofanyika hata kama inakuuma ina tija sana ndugu,unataka ndugu zako wasijue chochote kuhusu serikali yao ili waendelee kuwa utumwani?jinsi unavyojenga hoja kama ndio ungekuwa unahutubia watu hata vijana wadogo wa darasa la 6 wangekukimbia.
   
Loading...