Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi umewahi kujiuliza siku tanzania itakapo chafuka kwa sababu wajinga wachache wanaogombea madaraka (ikulu) ? Maana hali sio mzur kwa nchi zetu za afrika....mi naona kabla hayajatukuta ni bora...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eti unaambiwa hawana mpango wa kusomesha walimu, wala hawahitaji kutengeneza budget ya kusomesha walimu, hata ambao wako masomoni hawapewi nauli wala ada ya masomo, walimu wengi wameanza kukimbia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lile sakata la kesi ya rushwa iliyokuwa inamkabili Fredrick Mwakalebela mahakama ya mkoa Iringa, limehitimishwa leo baada ya Mwakalebela kumshinda tena mwanasheria wa TAKUKURU mahakamani. Kesi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana mahakama ya wilaya ya tarime ilitoa mpya baada ya kuwanyima kina Tindu lisu haki yao ya kikatiba ya kutotembelea baadhi ya maeneo ya Tanzania(nyamongo na barick) haya maamuzi ni batili maana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Awali ya yote napenda kuipongeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzani kupitia cha tawala cha kujivua magamba kwa kutuletea mradi wa maji tena mkubwa katika bonde letu la Mwakaleli. Pia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu Wana JF Niekuwa nikilisikisia neno fisadi suku za nyuma kidogo Hasa idhaa ya BBC na KBC ya Kenya! Baadae likaingia Tanzania!Mkanganyiko naoupata kwa hapa kwetu TZ unakuwa kama wimbo badala...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
MAMLAKA za vijiji, kata na wilaya zimeagizwa kuhakikisha vijana wanajiunga katika vikundi vya uzalishaji mali kwa kuwawezesha ili waondokane na umasikini unaowakabili na wengi wao kutokuwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Je Wajua kwamba chini ya Heavily Indebted Poor Countries (HIPC) Serikali ya MKAPA Tanzania ilisamehewa Deni la Sh. Trilioni 3 (tukashangili na kufurahi sana kama Taifa; LAKINI Ndani ya Miaka 3...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Amani iwe kwenu. Nimelazimika kuandika ukweli huu kwamba huko duniani ( katika nchi nyinginezo) wana marais ambao wananchi wao wakikumbwa na dhahama wanawajulia hali na kuwafikia mara...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Takwimu hizi za Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi zimekaaje? Ng'ombe 600,000 wanakamuliwa na wanazalisha lita 110,000 kwa Siku. Haiingii akilini kabisa hivi ng'ombe nao wamekuwa mbuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Regia amekuwa akijitahidi sana kutoa habari na matukio muhimu ya chama cha CDM. Namwona anajua nini umuhimu wa habari kuwafikia wananchi kwa wakati na muda unaohitajika. Ameonyesha ari na nia ya...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
A coffee farmer in Rwanda, a hungry child in a Tanzanian classroom, a young mother in Haiti, an aspiring entrepreneur in Harlem. They are all connected by one common thread: you. The goal of all...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Siku ya 5/2/2011,ilikua siku ambapo CCM ilitimiza miaka 34. Katika hotuba yake mwenyekiti CCM taifa alisema mengi likiwemo la kujivua gamba. Alipoanza kuzungumzia umeme alichekesha aliposema...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Bibi ambaye hakutaka kutaja jina lake kwa madai kwamba sharti apewe chochote amekutwa akiwa ameweka kizuizi kwenye barabara inayopita mbele ya nyumba yake eneo la Mabibo Hostel, Ubungo jijijini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kati ya mambo yanayoudhi wakazi wa jiji la Dar es Salaam ni kero ya foleni ambayo kwa kiasi kikubwa huchangiwa na udhaifu wa kikosi cha usalama barabarani kushindwa kusimamia sheria zilizowekwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale mnaotumia barabara hii nashauri msiitumie, ukiwa tayari kupoteza masaa 3 kufika Ubungo toka Buguruni basi itakufaa. Hata kutoka Ubungo kwenda TAZARA haiendi kabisaaa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu, PICHA ya jeneza lililotelekezwa barabarani imeongea zaidi ya maneno milioni moja. Kwa Watanzania, imetutia simanzi, imetutoa machozi. Ndani ya jeneza hilo pichani kuna mwili wa...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Najua kwa sasa chama ambacho kinasimamia kuona kwamba watanzania wapata ukweli kuhusu nchi inavyoendeshwa ni chadema.ombi langu hasa kwa makada walio vijana ndani ya chama hicho,fikra zenu...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Kwa Watanzania wengi sasa hivi wimbo ni siasa. Hakuna jambo jingine linalojadiliwa zaidi ya siasa kila uchao. Lakini siasa hizi licha ya kuaminika kuwa ndio suluhu ya baadhi ya matatizo katika...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi habari za kwenu: Poleni kwa majukumu ya kulijenga Taifa ambalo limejaa wajanja ambao wanauwezo wa kuzichezea akili za Raia jinsi wanavyoweza. Hivi mwakilishi wetu(mbunge au diwani)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom