Mtazamo wangu.

Mtazamo wangu.

Tanganyika1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
423
Reaction score
90
Hivi umewahi kujiuliza siku tanzania itakapo chafuka kwa sababu wajinga wachache wanaogombea madaraka (ikulu) ? Maana hali sio mzur kwa nchi zetu za afrika....mi naona kabla hayajatukuta ni bora tukajihami kama wananchi kwa kuandaa mswada wa sheria kwamba, mtu akishindwa uchaguzi afu akasababisha mapigano na watu kupoteza maisha basi na yeye auwawe (anyongwe mpaka kufa). Nadhani wanasiasa waroho wa madaraka watakoma.
 
Yatukute kwanza, mswada utafuata baadae, tumeshachoka na utawala wa magamba
 
Ikitokea ndio tutapata akili ya nini kifanyike na nini kisifanyike saa hizi watu tunaona kama mchezo wa maigizo tu
 
Back
Top Bottom