Tusikubali mapesa

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Najua kwa sasa chama ambacho kinasimamia kuona kwamba watanzania wapata ukweli kuhusu nchi inavyoendeshwa ni chadema.ombi langu hasa kwa makada walio vijana ndani ya chama hicho,fikra zenu ziongeze ujanja ,umakini,uerevu,uvumilivu na uthubutu katika utendaji wenu wa kila siku.maono yangu lazima mafisadi na watu wa vyama visivyokuwa na mapenzi mema na mtu ,watu,chama kinachowaangazia watanzania madudu yanayoendelezwa na watu wasio na maadili kuimarisha umasikini na utajiri kwa ajili yao ,hawatasita kukiangamiza chama.muwe makini sana sana kama mwalimu jk nyerere.msinunuliwe .msipokee hongo watanzania watawapa zawadi kubwa kuliko hongo/mapesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom