Igabiro
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 242
- 27
Je Wajua kwamba chini ya Heavily Indebted Poor Countries (HIPC) Serikali ya MKAPA Tanzania ilisamehewa Deni la Sh. Trilioni 3 (tukashangili na kufurahi sana kama Taifa; LAKINI Ndani ya Miaka 3 (2007-10) Serikali ya KIKWETE ilikopa Trilion 6....!!!!! Na Deni la Taifa sasa limefikia Shilingi TRILIONI 15...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!... Tafakari, Chukua Hatua...