Manispaa ya Tabora idara ya sekondari kuna nini?

lutelemba

Member
Joined
May 25, 2011
Posts
26
Reaction score
1
Eti unaambiwa hawana mpango wa kusomesha walimu, wala hawahitaji kutengeneza budget ya kusomesha walimu, hata ambao wako masomoni hawapewi nauli wala ada ya masomo, walimu wengi wameanza kukimbia. wanajamii forum tunaomba mawazo yenu ili mtusaidie Tabora pawe sehemu nzuri ya kufanyia kazi hasa walimu sekondari kama sehemu zingine za hii nchi, Maana afisa ellimu sekondari ameshindwa, ila cha kushangaza idara ya shule za msingi inasomesha, hata mkurugenzi kashindwa kusaidia walimu idara ya secondari. naomba mawazo yenu.:mod:
 
Tabora inasifika kuwa ni ngome ya wana Magamba. Ulitarajia hali tofauti na hiyo?

But it is very sad.
 
Huko mmeamua kuwachagua CCM msitegemee kupata maendeleo hata siku moja,badilikeni kama mikoa mingine mchague CHADEMA then mtaona mabadiliko.
 
Back
Top Bottom