Regia mtema -awe mkurugenzi wa habari na mawasiliano chadema-pendekezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Regia mtema -awe mkurugenzi wa habari na mawasiliano chadema-pendekezo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kinepi_nepi, May 26, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Regia amekuwa akijitahidi sana kutoa habari na matukio muhimu ya chama cha CDM. Namwona anajua nini umuhimu wa habari kuwafikia wananchi kwa wakati na muda unaohitajika. Ameonyesha ari na nia ya dhati ya kufanya hivyo.

  Kwa kuwa kitengo cha habari ndani ya CDM kinaonekana kulega lega inahitajikajika kupatikana mtu mahiri na anayeipenda kazi hiyo ili habari zitititrike kwa kasi inayoendana na matukio.

  Pendekezo langu ni Regia Mtema (MB) akabidhiwe kitengo hicho aunde safu ya habari CDM. Habari ni muhimu sana kwa ustawi wa chama cha siasa, matukio yote yanahitajika kwa muda na haraka kuripotiwa kwenye vyombo vyote vya habari, na mitandao yote ya kijamii.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh...ngoja Kiranga aone hii.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280

  hii hata Kiranga lazima aunge mkono. Mimi mwenyewe I second it. Amefanya kazi kubwa sana ya kutuletea habari kwa wakati muafaka na kwa kweli inabidi awe na overall incharge ya kuendesha kitengo hiki siyo regular elite or overburden bureaucrats.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Can't wait to hear what Kiranga has to say....lol
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,173
  Trophy Points: 280
  Huwezi kumpa mtu asiyejua alif wala bet kwenye mawasiliano, asiye na utashi wa kujifunza wala staha na haiba za ung'amuzi kazi nyeti ya ukurugenzi wa habari.

  Huwezi kumpa mtu anayeenda kwa kuunga unga mambo, anayebishana bishana mtandaoni bila kujua anabishania nini, anayelia lia, anayetukana watu kiasi cha kukimbiza hata washabiki wa CHADEMA, kazi hii.

  Huyu dada kama alivyosema Tundu Lissu, hata bungeni kaenda kujaza nafasi tu. Matter of fact wabunge wa kuteuana wote vidosho tu.

  Lakini nafurahi kuona kwamba hizi ni habari za kinepinepi tu. CHADEMA washachemka vya kutosha kuwapa airheads kama huyu ubunge, wasichemke zaidi kwa kuwapa nafasi za uongozi.

  Huyu siye yule aliyesema haelewi nafasi ya rais katika katiba? Sasa mtu kama huyu unategemea atafanya nini zaidi ya kutegemea kina Mwanakijiji wamuandikie vitu? Atakabwa kwenye press conference mpaka aombe Mwanakijiji amjibie maswali.

  Acheni utani jamani, mkurugenzi wa habari my foot.
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Yaani nimecheka hadi nusura nipaliwe! Nyani.. you had to drag Kiranga mwenyewe alikuwa anaangalia AI (like me I think). Kiranga.. well itabidi tumsaidie tu (Regia) sasa tufanyeje maana hao ambao unaweza ukasema wangeonesha initiative ndio hivyo tena.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh...wewe ukitaka kumuibua Kiranga toka machimboni mtaje Regia tu. Ni full burudani.
   
 8. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kiranga,
  Inabidi kitengo kipatiwe mtu ili habari zitufikie kirahisi. nakubaliana na mwana kijiji inabidi utoe msaada kwa dada, ili sote tupate habari. Na kazi kubwa si itakuwa kuripoti habari za chama na matukio. Nadhani akipigwa msasa anaweza kuwa mzuri. Ameonyesha upendo wa kutuoa habari akiwezeshwa ataweza, awe na timu nzuri tu.
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Sikuwahi kujuwa hapa JF kama kuna mijitu ina chuki ya viwango vya KIRANGA. point ya msingi hapa kati ya wenye degree 100 na huyu Regia alieishia darasa la 4 ni nani aliekuwa anawaupdates watu hapa kwa kipindi chote cha harakati za CHADEMA? mkuu KIRANGA ukiwa na roho hiyo kwenye umri huo, basi ukiwa mzee ni lazima utakuwa mchawi tu hilo halina ubishi.
   
 10. P

  Popompo JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33

  tehe tehe tehe eti akizeeka atakuwa mchawi!anyway ni kweli Regia ametupa habari kwa wakati muafaka na ni kweli anahitaji kupata timu makini na msasa kidogo kwa hiyo alichosema kiranga sio roho mbaya sema tu mkuu amekuwa mkali sana!
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  bora hata unyamaze kiranga ni zaidi ya ufikiriavyo
   
 12. F

  FUSO JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,806
  Likes Received: 2,291
  Trophy Points: 280
  Dada Regia ametusaidia sana kutuhabarisha hapa jamvini na kila mwana janvi ameshampigia senkisi kibao tu, wazo la kuwa na mkurungezi wa habari ni nzuri nafikiri chadema wao wanalifanyika kazi kama MJJ alivyokuwa akihojiana na Rais siku mbili tatu zilizopita.

  Pendekezo ni zuri lakini naona Regia ana majukumu mengi tu na sidhani yeye mwenyewe ataafiki pendekezo hili, si vizuri kuanza kuandika mambo mengi ya nyuma ambao sisi wanajamvi wengine yatuhitaji kuyajua, cha msingi kimeshajibiwa na Rais na haya mengine ya watu kwa watu sisi hatutaki kuyafahamu -

  Si vizuri hata kama mna mambo yenu basi mpigane madongo kwenye PM. SIJAPENDA mtu kuandika pumba kibao akidhani yeye ni staa hapa JF, kumbukeni Regia ni Mwakilishi wa wananchi kama una dukuduku lako kuna namna ya kumpata na kumwambia siyo kumwaga upupu wako hapa jamvini.

  Mmeniharibia siku yangu.
   
 13. F

  FUSO JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,806
  Likes Received: 2,291
  Trophy Points: 280
  kaka nyamaza JF ina wenyewe ndugu yangu, :biggrin1: usije ukaambulia ban bure.
   
 14. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,173
  Trophy Points: 280
  Mtu akishindwa hoja kukimbilia maneno jumla jumla kama "chuki" ni rahisi sana. Nimchukie mtu kwa kisa gani hata simjui? CHADEMA hawawezi kutuambia wanataka accountability na competency halafu wakati huo huo wakatuletea ma airheads wanaokuja kui embarass publicly hapa, wasiojua ethics za political organizations, wanaoleta cultivate political innuendos za ndani ya chama (rejea issue ya Regia kumsimanga Dr. Kitila hapa JF, Kitila alitumia hekima tu kutojiingiza katika a public brouhaha) sasa mnataka a half-birdbrained nitwit kama huyu ambaye kashindwa kujieleza kwa kuandika hapa JF ndiye apewe ukurugenzi wa habari?

  Huyu ambaye alipoingia bungeni tu kaanza na gaffe ya kusema "bunge linaboa" ? Nikisema huyu hajui alichofuata bungeni nitakuwa namuonea? Nina chuki?

  Tusitake kumchukua mtu yeyote anayeleta "habari" kwa sana kama kigezo cha ukurugenzi wa habari. Any vegetable with access can copy paste and misparaphrase the inner conundrums of CHADEMA and pour it here, it takes real intellect kukaa MAELEZO pale na kujibu maswali, kuandaa strategies za propaganda -in the positive sense of the word- za chama, ku deal na watu wa elimu napeo tofauti etc etc.


  Viwango vya Kiranga ndio viwango gani hivyo? Umevipimaje?

  Mawazo mgando utayajua tu, what has a degree to do with this?

  Is that so? au unaleta uzushi tu hapa?

  Hii ndiyo naita "embracing mediocrity". Kwa sababu watu wako chamani wanafanya kazi za chama, na kuna mtu anakuja kutoa habari kwa sana hapa, basi apewe ukurugenzi wa habari regardless ya uwezo wake.


  Of course utaniona mchawi na miwazo yako ya kishirikina, nikifika huo uzee teknolojia yangu itakuwa iko mbali kiasi kwamba wewe utaniona mie mchawi tu.
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,173
  Trophy Points: 280
  Embracing mediocrity in this vortex of complacency.

  Let's go on a toe to toe basis, pumba ipi hapo? Kwamba Regia ni airhead?

  Hizi habari za heshima za kijinga, treating each other with kid gloves and all ndizo zinatufanya tuwe masikini kila siku, hapa ni brutal honesty na zero tolerance tu.

  Na Regia ni mwakilishi wa CHADEMA, si mwakilishi wa wananchi as far as I am concerned, so stop raising her above her true station. Wengine hatutaki hata kuwasikia hao wabunge wa kupeana, ndio hao waliotuletea disasters kama hii inayoitwa Jakaya Mrisho Kikwete.
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  sikumaanisha hivyo, kuwa utapigwa ban kwa kumpinga mtu hapa kwa hoja, hakuna mtu mwenye haki ya kukupiga ban hapa kama utamwaga hoja zako hapa bila matusi wala jazba.na kumwambia jamaa vile kuwa bora anyamaze nilikuwa simaanishi kuwa anyamaze kama nilivyoiandika nilikuwa namwambia ajiandaE KUJA NA HOJA ZA KUPINGANA na kiranga(mzee wa mawe)
   
 17. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  vijana watajipanga tu msihofu CDM wamejiandaa
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja. Kutoa updates hapa jamvini hakuhalalishi huyo Regia kupewa kurugenzi ya habari. Ripoti zake nyingi huwa anatoa kama mshabiki wa chama na si eksekativu wa chama. Mfano ile siku ya maandamano ya Mwanza alipost kuwa watu wanamshangilia Mdee na amèfunika kixhenzy, badala ya kusema maudhui ya maandamano. sasa mkurugenzi wa habari huripoti mambo hivi? Aaaaaaaaah!
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,173
  Trophy Points: 280
  Mambo kama hay a ndiyo ninayosema mimi. Lazima tuangalie content, si ushabiki WA the lower end of propaganda.
   
 20. F

  FUSO JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,806
  Likes Received: 2,291
  Trophy Points: 280
  sawa mzee - ila point yangu ipo pale pale kwamba

  1. Mleta maada ameleta pendekezo tu kwamba awe Regia awe mkurungezi wa habari wa CDM - why wewe uje na vitu vingi juu
  ya Regia? yaani ni kama ulikuwa unasuburi upate nafasi ya kuwasha moto juu yake.
  2. Ukubali ukatae huu mfumo upo na unafanya kazi kwamba tuna wawakirishi wa wananchi kupitia viti maalum katika
  vyama vya siasa, sasa unamlaumu Regia au aliyemteua au mfumo?
  3. Lugha uliyotumia si nzuri imetukera hasa mimi hapa.
  4. Kama ana mapungufu hata wewe unayo tena yanaweza kuwa mengi zaidi, kwa nini basi umshambulie kiasi hicho?
  5. Chochote atakachosema Lissu kwako ni genuine?


  Sijapenda approch yako, maneno uliyotumia si ya kitanzania ndugu yangu.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...