Wikiliki
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 528
- 139
Jana mahakama ya wilaya ya tarime ilitoa mpya baada ya kuwanyima kina Tindu lisu haki yao ya kikatiba ya kutotembelea baadhi ya maeneo ya Tanzania(nyamongo na barick) haya maamuzi ni batili maana yanapingana na katiba inayotoa uhuru wa kila mtanzania kutembea na kuishi sehemu yeyote ya Tz bila kubugudhiwa.