Ufisadi unatafuna,kubadilika badilika na kutambaa kama kirusi 'hiv'

MKWECHE

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
299
64
Ndugu Wana JF
Niekuwa nikilisikisia neno fisadi suku za nyuma kidogo Hasa idhaa ya BBC na KBC ya Kenya!
Baadae likaingia Tanzania!Mkanganyiko naoupata kwa hapa kwetu TZ unakuwa kama wimbo badala ya Janga la kufanyia kazi hasa kuanzia ngazi ya Mashinani hadi juu!
Upepo wa sasa hivi mtu asie makini anaweza fikiri Tz kuna mafisadi 3 tu!
Kama Upepo utabaki hivihivi tatizo litaonekana Dogoo!Kumbe ni watatu tuu!
Lakini kwa Upana wake Ufisadi ni Mkubwa sana ngazi za Serikali za Mitaa kwa Mujibu wa zoezi la Mzee Mrema mwenyekiti wa Kamati ya Bunge!Tukikaa kimpya tukabaki Churus ya Mafidi ni 3 tuu
hawa wa huku ngazi ya chini(Mchwa) watamaliza nchi siku tutakayoamka na kukumbuka kumbe ufisadi ni ukubwa sana hasa ngazi za chini walipo mamilioni ya watanzania wanakula mlo mmoja!
wana JF Tupanue wigo wa Shule na Mkakati wa mapambano
 
Back
Top Bottom