Siku ya 5/2/2011,ilikua siku ambapo CCM ilitimiza miaka 34.
Katika hotuba yake mwenyekiti CCM taifa alisema mengi likiwemo la kujivua gamba.
Alipoanza kuzungumzia umeme alichekesha aliposema matatizo ya umeme yanasababishwa na kupungua kwa maji katika bwawa la Mtera na yeye wala serikali si watu wanaotakiwa kulaumiwa, akasema URAIS SIYO WINGU angekuwa wingu angeenda Mtera akanyeeeeeeesha bwawa likajaa watanzania wakapata umeme.