Kila siku kunatokea mauaji kila kona ya nchi, ufisadi wa mabilioni, yani shida kila kukicha, eti KUNA MNAOJIITA VIJANA TAIFA LA LEO! LEO IPI? MNASHINDWA HATA KUPIGANIA HAKI ZENU MNAKAZI YA...
kATIKA pita pita zangu gafla nakutana na haya maneno kuwa OFISI YA CDA DODOMA INA WAFANYAKAZI WAZEE.
sijajua UZEE WAO NI KUZIDI MIAKA 60 bado hawajastaafu.
UZEE wao ni kuchapwa na maisha,laana...
Jana nilikuwa pale Hoteli ya Holiday In nikivuta subira foleni ipungue, nikasikia tetesi kuwa mashirika ya ndege ya KLM na Emirates wanafanya mazungumzo na uongozi wa Holiday In ili Crews wao wawe...
Salaam wana JF,
Kwa wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Lazma tuishinikize serikali kuilipa Dowans mapema, hawa wote wanaojifanya kuipinga Dowans wana maslahi ndani yake.
Mwanzoni deni...
I am counting down the seconds, Jumamosi nawakaribisheni wooooooote pale Azania Front Cathedral, Bujibuji nitakuwa nafunga ndoa siku hiyo ya tarehe 22/10/11 saa kumi jioni.
Asanteni sana.
Jamani kuna mkopo unatolewa na hazina kwa watumishi ila wao wenyewe wanaita salary advance kwa sababu haina riba, je kuna mtu ana taarifa nao za kina au anaweza kutuweka hata fomu zao ili tujue...
Wanajamii Forum Nimejikutana najaribu kutafakuri kuwa kwa siku hizi nyimbo zile zilizokuwa zinatungwa na Majeshi yetu na Band ya Mwenge,JKT na Nyinginezo kwa niaba ya wananchi hakika zilikuwa na...
Habari za wakati kama huu wanajamii wenzngu, natumaini mtakuwa wazima ila mnasumbuliwa kihisia jinsi taifa letu linavyopelekwa na watu tulio waamini. kikibwa leo ni kupenda kujuzwa ni vipi lile...
Hivi Tanzania tunaelekea wapi kiuchumi coz badala ya maisha kuwa bora yana kuwa bora maisha sasa tunaelekea wapi mafuta yakula pia ya kuendeshea injini bei inazidi kupanda bei ya vyakula juu sijui...
Wakuu nimeona alama nyingi sana kwenye bararabara za Dar ambazo wanataka kuintroduce ili magari yasipite pande hizo. Zinatisha sana! Zimewekwa kila mahali na kama zitatekelezwa hivyo hakutakuwa na...
Haiingii akilini kwamba Kenya wanaweza kuingia kwenye vita leo hii? Sidhani kuna any push factor to this extent mpaka wanaamua hivi! Na sidhani kama wana uchumi mzuri kiasi hicho wa kuafanya...
Kuna waraka rasmi umetolewa na serikali kuwaomba Askari polisi wawe wavumillivu kwani mishahara yao itachelewa kutoka hadi kwenye tarehe za katikati za mwezi ujao. Askari polisi niliongea nao...
Hii ni aibu ya mwaka!nadhani tanzania tuna ngombe mbuzi wengi kuliko kenya kwa ajili ya ngozi.Cha ajabu wakenya wanakuja kutupa msaada wa viatu vya watoto wa shule wilayani mkinga tanga.na huku...
UPDATES.
Kwa niaba ya familia yake Matwi ametoa shukrani nyingi kwa wote waliofanikisha mazishi ya marehemu baba yake kwa njia moja ama nyingine. Anasema amefarijika sana.
Taarifa kutoka kwa...
Wadau, nipo Kwenye chumba cha mahakama arusha ambapo ksi ya maandamano ya arusha inayo wakabili viongozi waandamizi wa CDM inaendelea.
Katika Hali isiyo ya kawaida, wakati wakili mkuu wa srikali...
KESI ya kufanya maandamano bila kibali inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) pamoja na wafuasi wao 19, jana ilianza kusikilizwa huku wafuasi wa chama hicho...
KUKOSEKANA kwa uzio katika Shule ya Msingi Nyahanga, wilayani Kahama, kumewapa mwanya wahuni kutumia madarasa ya shule hiyo kama sehemu ya kuvutia bangi na kufanyia mapenzi baada majira ya...
Maoni ya katuni
Tunaambiwa na tumeshuhudia kwamba ile mipaka ya nchi moja moja duniani kwa sasa haifanyi tena kazi. Hii ni kwa sababu maendeleo ya sayansi na tekinolojia ambayo yanasukumwa zaidi...
Mwandishi wetu
KAULI za Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kuhusu tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini, imepokelewa kwa hisia na mitazamo tofauti, huku baadhi wakihoji kuhusu sababu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.