Wakenya tusaidieni viatu vya watoto wa shule

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Hii ni aibu ya mwaka!nadhani tanzania tuna ngombe mbuzi wengi kuliko kenya kwa ajili ya ngozi.Cha ajabu wakenya wanakuja kutupa msaada wa viatu vya watoto wa shule wilayani mkinga tanga.na huku waziri wa elimu akichekelea
 
Ndugu yangu , kati ya ngozi na viatu kuna processes muhimu hapo katikati umeziruka. Angalia vizuri utapata jibu.
 
Tuna viwanda vya kuprocess leather vingi tu,tatizo wabongo hamuoni vya nyumbani,viatu vya ngozi vinazalishwa sana tu tena viwanda vyake vinakua,KARIBUNI-WOISO PRODUCTS.COM/HIMO TANNERS&PLANTERS.COM,Kwa bidhaa imara za ngozi ya hapa hapa Tzania,tupo,DAR,MBEYA,MOSHI,KIBAHA,ARUSHA na mawakala Dodoma,Morogoro,mwanza,zambia,zanzibar,tanga,rombo,songea.
 
Back
Top Bottom