Mwenendo wa Tanzania kiuchumi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenendo wa Tanzania kiuchumi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Simba mzee, Oct 22, 2011.

 1. S

  Simba mzee Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi Tanzania tunaelekea wapi kiuchumi coz badala ya maisha kuwa bora yana kuwa bora maisha sasa tunaelekea wapi mafuta yakula pia ya kuendeshea injini bei inazidi kupanda bei ya vyakula juu sijui tutafika kweli?
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,490
  Likes Received: 81,808
  Trophy Points: 280
  Usiseme sana wale wa Magamba watakwambia wanaolalamika JF wengi wao wako nje ya nchi tena si Watanzania hawajui nini kinachoendelea nchini!!! Kwa maneno mengine kwa maoni ya Magamba kila kitu nchini chini ya uongozi wa "Chaguo la Mungu" kiko shwari kabisa hakuna sababu yoyote ile ya kutia neno.
   
Loading...