Kutokana na tatizo sugu la foleni jijini Dar KLM na Emirates Crewa kutumia Chopa…………

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Jana nilikuwa pale Hoteli ya Holiday In nikivuta subira foleni ipungue, nikasikia tetesi kuwa mashirika ya ndege ya KLM na Emirates wanafanya mazungumzo na uongozi wa Holiday In ili Crews wao wawe wanalala pale na watakuwa wanatumia Chopa (Helicopter) kuruka kutoka Airport hadi Hotelini and vise versa ili kuondokana na adha ya foleni hapa Dar…………….
Kwa sasa KLM wanalaza Crews wao Double Tree by Hilton na Emirates wanawalaza Crews wao Kilimanjaro Regency Grand Hiyyat……………….. zamani iliitwa Kilimanjaro Kempinski

Mwenye News kamili atumwagie..................
 
hiyo habari ya siku nyingi sana
kwa ufupi Holliday Inn wana helicopter tayari inatoa huduma hizo kwa wateja wake na mtu yeyote mwenye ku afford.....
 
Helicopter hiyo itakuwa inabeba watu wangapi? au itakuwa inapiga trip kama daladala kusomba watu!
 
hiyo habari ya siku nyingi sana
kwa ufupi Holliday Inn wana helicopter tayari inatoa huduma hizo kwa wateja wake na mtu yeyote mwenye ku afford.....

Sasa TB, kama habari hiyo ni ya siku nyingi, kwa nini ichukue muda mrefu kiasi hiki.................... nilichoambiwa mimi ni kwamba majadiliano yapo kwenye rate za vyumba, haya mashirika yanataka rate iwe included na airport transfers na rate za airlines always ni very low uki-compare na other clients................ ishu hapa ni either you take it or not, na ndio maana labda kuna hati hati..............
 
Hongera kwa kuafodi kukaa holiday inn
naona ndio ujumbe wa post hii

Umesoma kama vile unasoma Kiarabu na ndio maana hukuelewa........................ kwani Holiday In ni Ikulu!!? We vipi bana.................
 
Sasa TB, kama habari hiyo ni ya siku nyingi, kwa nini ichukue muda mrefu kiasi hiki.................... nilichoambiwa mimi ni kwamba majadiliano yapo kwenye rate za vyumba, haya mashirika yanataka rate iwe included na airport transfers na rate za airlines always ni very low uki-compare na other clients................ ishu hapa ni either you take it or not, na ndio maana labda kuna hati hati..............

hata sijui kama tunaelewana...
habari ni kuwa kuna helicopter inatoa huduma tayari
kwa wateja wa Holiday inn na yeyote mwenye ku afford
hiyo habari ishatangazwa kwenye vyombo vya habari

sasa hilo la mashirika ya ndege na wafanyakazi silijui
 
Hilo la hiyo huduma kuwepo hapo Holiday In hata mimi nalifahamu kitambo................Ila hili la Mashirika ya Ndege kutumia Chopa ni geni kwangu, na ndio maana nikasema hizi ni tetesi bado.............
 
Hilo ndio suluhisho la foleni kwa hao cabin crews na pilots wao maana utakuta ndege ya saa 8 au 9 mchana inabidi waondoke hotelini(white sand) saa 5 mchana kuogopa foleni.
 
Kuna siku nilikutana na Coster ya Cabin Crew wa Emirates maeneo ya Temeke kwa Sokota wanaitafuta Airport................,!
 
KLM huwa inaondoka Dar karibu saa sita usiku kwani bado kunakuwa na foleni tu? Kwa Emirates sawa maana ndege yao huondoka Dar mchana.
 
Hilo nalo neno.............. Lakini kwa umbali wa kutoka Double Tree Hotel mpaka Airport kuna umbali gani? Je itabidi waondoke saa ngapi.............? Ninavyojua mimi Mpaka saa nne usiku wakati mwingine jiji hili lina jams za hapa na pale, Je hiyo haiwezi kuwa sababu?
 
Jana nilikuwa pale Hoteli ya Holiday In nikivuta subira foleni ipungue, nikasikia tetesi kuwa mashirika ya ndege ya KLM na Emirates wanafanya mazungumzo na uongozi wa Holiday In ili Crews wao wawe wanalala pale na watakuwa wanatumia Chopa (Helicopter) kuruka kutoka Airport hadi Hotelini and vise versa ili kuondokana na adha ya foleni hapa Dar…………….
Kwa sasa KLM wanalaza Crews wao Double Tree by Hilton na Emirates wanawalaza Crews wao Kilimanjaro Regency Grand Hiyyat……………….. zamani iliitwa Kilimanjaro Kempinski

Mwenye News kamili atumwagie..................

crap Crew wapo wangapi na Chopper itafanya safari ngapi kwa siku?Unajua gharama za kuendesha Chopper?
 
Back
Top Bottom