Salary advance -Hazina

Salary advance -Hazina

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Jamani kuna mkopo unatolewa na hazina kwa watumishi ila wao wenyewe wanaita salary advance kwa sababu haina riba, je kuna mtu ana taarifa nao za kina au anaweza kutuweka hata fomu zao ili tujue kilichopo.
 
Back
Top Bottom