Kutoka mahakamani Arusha ~ Kesi ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka mahakamani Arusha ~ Kesi ya CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ngurati, Oct 21, 2011.

 1. n

  ngurati JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wadau, nipo Kwenye chumba cha mahakama arusha ambapo ksi ya maandamano ya arusha inayo wakabili viongozi waandamizi wa CDM inaendelea.
  Katika Hali isiyo ya kawaida, wakati wakili mkuu wa srikali akiendelea kusoma mashtaka ya washtakiwa ghafla wananchi waliopo ndani na nje ya mahakama wakashanhilia kwa makofi, vifijo, na klele pale msoma mashtaka alipsema
  "mshtakiwa wa nne lema, aliendela kunishana na polisi akiwaambia kazi Yao sio kuzuia maandamano Bali ya kuyaongoza na kuyalinda"

  mshtakiwa wa tatu philemoni ndesamburo akihutubia, aliwaambia polisi, kikwete anaanza kuandika historia ya vurugu nchini, kikwete huna baba? Unatupiga mabomu wakati mkoloni hakutupiga mabomu? Unataka kushindana na ndesamburo kwa hivi vipolisi ambavyo maisha Yao yamechakachuliwa? Kikwete hutaziweza vurugu za ndesamburo"

  ghafla vifijo vikaamka tena, wananchi wakashangilia wakisma ....kweli..... Kweli....


  Hii picha tamu sana. Nitawajuza.
   
 2. n

  ngurati JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wakili wa utetezi amesema washtakiwa wanakubali kuwa kulikuqaje na mabadilishano ya barua Kati ya mkiti CDM wilaya na OCD, na anakubali ya kuwa washatakiwa wote isipokuwa wa 19 walikamatiwa maeneo mbalimbali tofauti mkoani arusha.

  Mengine yote washtakiwa wameyakana.

  Washtakiwa wanahijiwa Kama alivhosema wakili na sahii na wamesema ni sahii kabisa
   
 3. n

  ngurati JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Baada ya hapo kila mtu status sahihi mambo yaliyokubaliwa
  kazi, na majina
  kwamba wote wanashtakiwa Kama mahakama imabyosema
  CDM walipanga maandamano na mkutano
  CDM walitoa barua kuhuau maandamano kwa OCD
  OCD alijulishwa njia route za maandamano
  washtakiwa wote 18 walikamatiwa sehemu tofauti tofauti
  washtakiwa wote walifikishwa mahakamani wakishtaliwa kwa malisa mbalimbali.


  Malisa mengine yote wameyakana. Ni kazi ya upande wa mashtaka kuthibitisha makosa ya washtakiwa .

  Sasa mawakili wanasaini kwa niaba ya wateja wao.
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Ujamalizia maneno ya Ndensamburo..tutafanya nchi isitawalike tena
   
 5. n

  ngurati JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa kigupi wamekubaliana na upande wa mashtaka kwa mambo saba yaliyoorodheshwa hapo juu. Mengine yote wamekana.
   
 6. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Poa haya endelea!
   
 7. n

  ngurati JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sio ndesamburo , hujasikiliza vizuri mtumwa wa NEPI. Kumbe upo hapa ndani, Leo tunakutafuta na hutatoka salama hapa. Machalii wa arusha Wanamaker Hasira na wewe, Kama vipi toka mapema itherwise tunakutress.
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kwa muda huu, Ntawahi kweli hapo kabla ya kesi kufungwa?
   
 9. n

  ngurati JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jitahidi mkuu, inaonekana itachukua muda.
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ile ilikuwa ni laana..ndiyo maana nchi kikwete imemshinda..
   
 11. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ninahamu sana na wewe Ritz
   
 12. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145


  Kwani wewe hujaona ya libya
  Soma alama za nyakati weweeeeeeeee
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Ndio nipo humu ndani ya mahakama mtu yoyote anisogelee kama sijampiga risasi za miguu..

  Tuone kama CDM watamsaidia chochote
   
 14. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ritz NINAHAMU HAMU HAMU SANA NA WEWE
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu endelea kutujuza..
   
 16. n

  ngurati JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kesi imeahirishwa kwa dakika kumi, wakili wa serikali ameomba hivyo.
   
 17. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ritz Risasi my back wats risasi Muulize Gaddafi atakuambia.
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wewe wala hauko Arusha, uko lumumba unajiandaa kwenda kula ubwabwa
   
 19. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  sawa endelea kutuhabarisha
   
 20. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Tupe ripoti mkuu!
   
Loading...