Nyimbo Hizi:Kama Sio Juhudi Zako Nyerere...Na Solidarity Forever Ni Nyimbo Taifa Za Kizalendo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyimbo Hizi:Kama Sio Juhudi Zako Nyerere...Na Solidarity Forever Ni Nyimbo Taifa Za Kizalendo!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DSN, Oct 22, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wanajamii Forum Nimejikutana najaribu kutafakuri kuwa kwa siku hizi nyimbo zile zilizokuwa zinatungwa na Majeshi yetu na Band ya Mwenge,JKT na Nyinginezo kwa niaba ya wananchi hakika zilikuwa na mwamsho wa uzarendo.

  Lakini Maajabu ya Mungu,Taifa limepata Nyimbo za Uzalendo ambazo sio zao la nguvu ya Serikali kuzituma kwa jamii kujivunia Taifa lao bali ni NGUVU YA UMMA kujulisha SERIKALI kuwa Wako Pamoja kudai au kupingana na maamuzi au vitendo vya Serikali.Zimekuwa ni nyimbo za kujieleza kwa jamii kuhusu matakwa na hoja za jamii.

  Hakika kuanzia sasa nazitambua rasmi nyimbo hizi mbili
  1: Kama Sio Juhudi zako Nyerere na

  2: Solidality Forever.


  Nyimbo hizi mbili ambazo zilianza pale Chuo Kiikuu [UDSM-Mlimani], miaka ya 2000s na kuendelea zimewafikia wananchi na kuenea kwa kada zote katika kudai au kushinikiza wajibu wa Serikali dhidi ya jambo husika kulingana na mazingira.

  Nawasilisha
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tuimbe kwa pamoja. 1-2-3 anza KAMA SIO JUHUDI ZAKO NYERERE . . . . . .
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  ...................Na umeme Ungetoka wapi.!!!!!!!!!
   
 4. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,088
  Trophy Points: 280
  Na maGhAmbA yangetoka wapi... Teh teh teh teh
   
 5. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  ...... Mafisadi wangesoma wapi?
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,699
  Trophy Points: 280
  ccm ingetoka waaaaaaaaaaaaaaaaaapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kama sio..... Kama sio juhudi zako NYERERE MBAYUWAYU angetoka wapi? kama siyo.......
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,657
  Likes Received: 8,208
  Trophy Points: 280
  huo wa solidarity ndo maneno yake yanasemaje tena!??
   
 9. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ubeti wa kwanza: Solidarity forever, solidarity forever for the union make us strong.
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Yani huu wa kama sio unanikonga nyoyo sana mana kama sio juhudi zake Nyerere mauaji ya sumu yangetoka wapi?
   
Loading...