Maandamano ya kushinikiza serikali kuilipa DOWANS!!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Salaam wana JF,

Kwa wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Lazma tuishinikize serikali kuilipa Dowans mapema, hawa wote wanaojifanya kuipinga Dowans wana maslahi ndani yake.

Mwanzoni deni lilikuwa 94bln, tumezembea limefika 111bln. Hawa wote wanaojifanya kupinga lengo lao wanataka deni liongezeke, wana maslahi ndani yake.

Kosa limeshafanyika. Tusipinge kitu kisichopingika.

NAIPENDA NCHI YANGU!
 
Back
Top Bottom