ILe Chenji yetu vipi???

Mwita Matteo

JF-Expert Member
May 16, 2010
216
55
Habari za wakati kama huu wanajamii wenzngu, natumaini mtakuwa wazima ila mnasumbuliwa kihisia jinsi taifa letu linavyopelekwa na watu tulio waamini. kikibwa leo ni kupenda kujuzwa ni vipi lile swala la Chenji yetu?? Je, isha fika na kuanza kutumika au bado? na mbona Membe hafanyi Press Confrence kutuelezea kama washaipata na imeanza kutumika kama tulivyo ahidiwa na atuonyeshe kwa vitendo Mfano, tuone nyumba za walimu zikijengwa na atuoneshe vitabu vilvyo nunuliwa.
 
Ile ishakuja,
Wametanguliziwa Dowans kama 1st Instal. wakati unaangaliwa mchakato wa kuzipata za kumalizia!!
Halafu usifikiri sana mambo ya Membe, jamaa ana majonzi ya kuondokewa na mfadhili wake aliemuahidi kiwanda cha Cement, hawezi kukujibu mambo ya Chenji kwa sasa!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom