Eti vijana tafa la leo! Bure kabisa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti vijana tafa la leo! Bure kabisa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Angel Msoffe, Oct 22, 2011.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kila siku kunatokea mauaji kila kona ya nchi, ufisadi wa mabilioni, yani shida kila kukicha, eti KUNA MNAOJIITA VIJANA TAIFA LA LEO! LEO IPI? MNASHINDWA HATA KUPIGANIA HAKI ZENU MNAKAZI YA KULALAMIKA HOVYO, HAMNA LOLOTE MNALOSAIDIA TAIFA KWA SASA BORA MJIITE TAIFA LA KESHO
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  napita jamani vinginevyo ntatoa mtu ngeu
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,486
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  nchi hii hakuna vijana,vijana wenyewe kula kulala unategemea nini?
   
 4. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 14,488
  Likes Received: 6,169
  Trophy Points: 280
  sifurahii matumizi ya lugha za kichochezi au matumizi ya nguvu hasa katika jamvi la great thinkers.
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,527
  Likes Received: 2,451
  Trophy Points: 280
  Hawa ni magandwa, wanahamasisha vurugu.

  Vijana si kuanzisha vurugu!
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  vijana ni taifa la mtondogoo................ka kingunge ni kamanda wa vijana sa hivi unategemea vijana wawe taifa la leo????????????
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,104
  Likes Received: 10,416
  Trophy Points: 280
  viroba va valuer + vladmir ni noumer asee
   
Loading...