Nagombea ubunge(2015)-ndio kazi inayolipa mniunge mkono JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nagombea ubunge(2015)-ndio kazi inayolipa mniunge mkono JF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Nov 29, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wna Jf

  Nimeona sasa ni bora nitangaze rasmi kuanza harakati za kugombea ubunge,kwani kwa upande wangu naona ndio kazi inayolipa baada ya maposho kebekebe kuongezeka

  Posho=elfu 80 nje ya jimbo

  kila siku gharama ya mafuta ya gari =elfu 50

  Nikiwa bungeni=laki 2 kila siku

  Wakati designing za mifereji kupeleka maji mashambani ili wakulima wamwagilie na kupata chakula kwa wingi posho ni elfu 30 pindi ukienda kijijini kwa kazi hizo za survey na designing


  Walimu hadi leo hakija eleweka,mishahara yao hata mwisho wa mwezi haimalizi,wanalamba chaki hadi wanapata vifua vikuu

  sasa nimekata shauri

  naanza harakati za kugombea ubunge,naomba mniunge mkono
   
 2. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Jimbo gani na kwa chama gani? Habari imekaa kama gadaf alivyokuwa anakwepa waasi be free.aupo pangoni
   
 3. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndicho kilichobaki mkuu.Hata mimi nipo njiani ila jimbo na chama nitataja baadaye wakati mwafaka ukifika.
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kapigie hizo kampeni jimboni kwako. Huko ndio watakupa ushauri wa maana na namna ya kupambana na mhusika ambaye ni mbunge wa sasa.
  Kuongelea hapa issue za ubunge ni kama unapiga tu majungu.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,960
  Trophy Points: 280
  Jimbo la JF
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nakuunga Mkono Ubunge Unalipa 12.6m kwa mwezi
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  nina wasiwasi na wale Waluguru, Mwarabu amewaroga sana... Ila sio mbaya ukajaribu bahati yako!
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  nilijua tu lazima uneng'eneke!
   
 9. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,437
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Vipi huwa wanakugawia "posho" yao kidogo nini!? Kweli kutumika ni kubaya!!
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani ni lazima mcomment juu ya nilichoandika?
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,760
  Trophy Points: 280
  Katika nchi nyingi za Scandinavia wamejiwekea utaratibu wa kuwalipa viongozi wa kisiasa mshara mdogo sana kiasi cha kufanya wazazi kuwaandaa watoto wao kuwa madokta,walimu na shuhuli nyingine za kijamii coz ndo kazi zenye mshahara mkubwa kuliko ule wa viongozi wa kisiasa.
  Ivi kwa mara ya mwisho ni lini doctor wa moyo ameongezewa kipato ili kushawishi utendaji katika kazi yake??
   
 12. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  nakusupport ndugu yangu,mimi najiandaa kugombea jimbo la bahi kwa tiketi ya CDM naona omari baduel hana jipya
   
 13. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sasa bora wote tukagombee ubunge tu, mana ndo mpango mzima.


  [​IMG]
  Il Gambino.
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Iramba mashariki amkeni, mkombozi anakuja
   
 15. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,640
  Likes Received: 709
  Trophy Points: 280
  Sijui kama utaniangusha ktk kura za Maoni! Labda upitie kwa chama cha Mgana na Salome!
   
 16. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #16
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  tena hawa jamaa ndio wamesahaulika kabisaaa

  bora hata walimu tunawasikia na chama chao wanapiga kelekele kila siku,mimi nilidhani kama wanahitaji kuendeleza sector zenye tija hapa nchini basi angalau wangekuwa wanawajari wafanya kazi ambao ndio wanaosaidia kuleta mabadiliko ya kiuchumi ktk taifa lolote lile,

  angalia sasa hata vyuo vyetu walimu hakuna sasa,wote wamekimbilia ktk siasa,wanafuata maslahi mkuu

  kazi ngumu maslahi kidoko
   
 17. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #17
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  usiwe na hasira,punguza hasira ndio maana kukawa na majukwaa kama haya,ili tuweze kusema tukifikiliacho,
  pia nadhani hujui maana ya majungu unalipuka tu kama moto

  busara hujenga mkuu
   
 18. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #18
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hahahahah @Malaika bana
  watu wanapindua juu kwa juu,unaweza pita ktk kura za maoni na ukaelezwa kuwa huna mfuto kama seleriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  MALAIKA, umewaelimisha kwanza hao wapenda nyama waache ukigeugeu
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  Nov 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nilichokupa ni facts bila kumumunya. Natumaini ujumbe umekufikia!
   
Loading...