KANDORO na Diwani wa CHADEMA TUNDUMA wazuru soko lililoteketea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KANDORO na Diwani wa CHADEMA TUNDUMA wazuru soko lililoteketea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chilipamwao, Nov 29, 2011.

 1. Chilipamwao

  Chilipamwao JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Diwani wa kata ya Tunduma na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mbozi wamezuru eneo la soko lililoteketea vibaya kwa moto na kusababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kwa wakazi wa Tunduma.
   

  Attached Files:

 2. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa nini mkoa wa Mbeya umegubikwa na matukio ya kuungua kwa masoko?
   
Loading...