Kilwa kuna Mafuta ya Petrol! Mafisadi kazi kwenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilwa kuna Mafuta ya Petrol! Mafisadi kazi kwenu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyange, Nov 30, 2011.

 1. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  1. Ndugu zangu wapendwa, hizi pesa zinazotumika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru kwanini zisilipie wadogo zetu walio kosa mikopo ya Higher Education Student Loan Board-HSLB?.
  Mnajua hii nchi haina greater thinker?, sijui ilikuwaje hawa wakawa viongozi wanao amua pesa za walipa kodi kwa vitu visivyo na mshiko?

  2. Tena kuna tetesi na kuwa yale maeneo ya kilwa kwamba Yamegundulika mafuta ya petrol, badala ya Tanzania kupeleka wataalam wasome kwanza na kutafuta jinsi ya nchi kufaidika na mafuta, tutasikia kuwa wameisha ingia mkatata wa kuchimba miaka 99!

  Hawa viongozi watatufanya tuchinjane, make mambo yanazidi kuwa mabaya zaidi ndugu zangu wapendwa.
   
 2. Ngararimu

  Ngararimu Senior Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu taarifa za uhakika ni kwamba wakuu wa mikoa wanachangisha fedha kutoka kwa wafanya biashara binafsi, makampuni binafsi, viwanda, taasisi za serikali,halmashauri za miji na wilaya, manispaa, taasisi ambazo sio za kiserikali, mabenki ya ndani na ya nje yanayofanya biashara katika mikoa yao, wasafirishaji wa mizigo na abiria nk.list ni ndefu. Fedha hizi zinahitajika kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara katika mikoa husika na pia kugharimia ushiriki wa mikoa katika maadhimisho ya kitaifa ambayo yatafanyika Dar kwenye viwanja vya mwalimu nyerere kilwa road kuanzia 1/12/2011 mpaka 12/12/2011 baada kusema hayo naomba kufahamishwa yafuatayo:-
  1. Gharama za maadhimisho haya ziliwekwa kwenye bajeti ya wizara inayoratibu maadhimisho haya?.
  2. Kama ndiyo uhalali wa michango hii uko wapi? Au ndiyo yale yale yaliyokemewa na wabunge katika kikao cha juzi yanapelekwa kwa wananchi badala ya taasisi zilizo chini ya wizara husika?.
  3. Jee wizara husika imeipatia mikoa fedha? Kama hapana kuna haja gani ya mikoa kufanya hayo maadhimisho? Si yafanyike kitaifa tuu.
  4. Jee ni kiasi gani mikoa imeruhusiwa kuchangisha na zitatumika vipi?
  5. Baada ya maadhimisho hayo accountability ya fedha hizo itafanyika vipi??????????

   
 3. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  hizi ndizo priority za nchi yetu
   
Loading...