Kama na wewe ni mmoja wao. Basi jua tabia hii inakera sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama na wewe ni mmoja wao. Basi jua tabia hii inakera sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Nov 30, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kila jua lichomozapo, watu huanza pilika pilika za kuisaka shilingi pamoja na mahitaji muhimu. Kila mtu anakuwa na haraka ya kutaka kuwahi mambo yake. Ukiwa katika harakati zako unaingia bank kwa ajili ya kuongeza nguvu chapchap.

  Sasa kuna baadhi ya watu akisha chukua mkwanja, ataanza kuhesabia pale pale dirishani bila kujali kuwa kuna watu wenye haraka zao nyuma yake.

  Ni akili kidogo tu inahitajika. Chukua fungu lako, kisha sogea pembeni kidogo uendelee na hesabu zako huku wengine wakiendelea na kupata huduma.
   
 2. Wang'wise

  Wang'wise JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanatumia usemi, count your money before living the counter
   
 3. m

  mhondo JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ni "living the counter" au "leaving the counter"?.
   
Loading...