siku ya 7 leo mwanza tabu tupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

siku ya 7 leo mwanza tabu tupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wizzo, Nov 30, 2011.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  hivi jiji kama mwanza lenye ziwa mjini linakosa maji jiji zima? Leo ni siku ya 7 hakuna maji jiji zima la mwanza,sijui nani alaumiwe? Jamani viongozi wa mwanza embu fanyeni mpango wa maji hii ni hatari
   
 2. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,723
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  poleni mkuu...na kwa style ya uongozi katika nchi hii siku hizi sitoshangaa nikisikia hili nalo linahitaji liundiwe kamati teule ya wabunge wa mwanza kuchunguza.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Waziri wa maji si ni injinia kichwa? Au yeye hakupata festi klasi ys UDSM?
   
 4. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  yani mi sielewi tumlaumu nani? Mbunge au mkuu wa mkoa au waziri?
   
Loading...