Naomba kuuliza kama mgao wa umeme bado unaendele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kuuliza kama mgao wa umeme bado unaendele

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ikindo, Nov 30, 2011.

 1. i

  ikindo Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 25
  Wanajamvi ninaomba kwa mtu yoyote kutoka Tanesco ama Wizara ya Nishati na Madini(AKA Wizara ya kugawana honoraria bila kufanya kazi) atuweke wazi kama anafahamu lolote kuhusu mgao wa umeme, kwa sababu huku mjini umeme umekua ukikatika kinyemela bila kufahamishwa kiasi kwamba leo tu nimekosa tenda ya kulaminate business card kwa ajili ya miaka hamsini ya uhuru wa Tanganyika na kuzima mwenge pale uwanja wa sabasaba. kwa yoyote mwenye taarifa tafadhali ninaomba anijuze ili na wengine wachangie, ikiwezekana kama waziri ngeleja anasoma hii forum basi ninaomba atoe ufafanuzi.
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Inaelekea mgao unaendelea, hapa nilipo tunakosa umeme kwa 12 hours kila baada ya siku moja.
   
Loading...