Uhuru lipigiwe kura za maajabu 7 ya dunia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhuru lipigiwe kura za maajabu 7 ya dunia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Robert Nyuki, Nov 29, 2011.

 1. R

  Robert Nyuki New Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanajamii, umofia kwenu!
  Kuna gazeti linachapishwa nchini tanzania linaitwa uhuru. Hili gazeti halionekani kwenye meza wala sehemu yoyote ya kuuzia magazeti! Je, kwanini haliingizwi sokoni? Kama halipo sokoni lauziwa wapi na lachapishwa kwa ajili ya nani? Je, gharama ya kulichapisha inalipikaje kama haliingii sokoni? Je, wanaotangaza ktk gazeti hilo wanafaidika vipi? Nimeambiwa gazeti hili linapatikana kwenye vituo vya tv na redio tu kwani likipelekwa mtaani halinunuliki utadhani kofia za polisi!!

  Sasa kama gazeti lachapishwa na halihitajiki ktk jamii lakini bado kila kukicha lachapishwa kwanini lisipigiwe kura za maajabu 7 ya dunia?

  Nawasilisha
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nani ananunua magamba sikuizi?


  [​IMG]
  Il Gambino.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280

  Naona ni post yako ya kwanza karibu JF Mr. Nyuki...

   
 4. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wanawauzia ofisi zote za serikali kwa hiyo hawana haja na soko la mtaani wao...Nenda kila ofisi ya serikali utalikuta Uhuru,DailyNews na Mzalendo
   
 5. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Umeniibia maneno... hahaha!
   
 6. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ofisi?hapana labda ofisi zako za kahawa.
   
 7. Ngadu

  Ngadu Senior Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanaongeza idadi ya karatasi za kufungia maandazi.
   
 8. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  lLITATUMIKA KUFUNGIA VITUMBUA.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,476
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe hili gazeti bado lipo?
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,403
  Trophy Points: 280
  mi huwa naona waganga wa kienyeji wakifungia madawa yao yale ya unga na yale ya mizizi vipande vya gazeti la uhuru
   
 11. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Bwana Nyuki karibu Jamvini...
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,654
  Likes Received: 1,439
  Trophy Points: 280
  kongwe la chama cha mapinduzi.... wanawauzia wapiga rangi za magari
   
 13. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  na redio yao uhuru inasikizwa na watu gani vile?
  kutwa kucha wanaimba magamba yajenga nchi sijui hao watangazaji wanaakili timamu pia
  kina PJ na wengineo walikimbia mapema
   
 14. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mimi ninayesumbuliwa na alej za mara kwa mara ukinifungia maandazi kwenye gazeti la UHURU ntapata kansa ya koo siku hiyo hiyo. Naichukia CCM jamani, nashindwa tu kuelezea kwa kiwango mtakachonielewa
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  karibu sana jamvini mkuu
   
 16. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ajabu hata wanachama wenyewe hawalinunui hata viongozi na makada wa chama utawakuta na Mwanahalisi, TZ Daima au Mwananchi etal
   
 17. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #17
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hiyo ni ID yangu nyingine huitaji kunikaribisha.
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Uhuru hulikosi Library ya UDSM,
  kuanzia first floor na kile chumba chao cha reference
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hilo gazeti ndio hirizi lao.lipo kama liwigi la makinda!
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  huwa linasambazwa maofisini
  hata hapa kwetu huwa nalionaona.:A S 465:
   
Loading...