Sasa ni rasmi, Raia Mwema gazeti la udaku!

Mpanzi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
785
440
Nasoma gazeti la Raia Mwema, nashangaa kuwa linatuhumu watu bila kuwataja majina, kama halina ubavu wa kutaja majina si likae kimya, uandishi wa kiijumaa kwenye gazeti la siasa sio sahihi!ukiamua kupambana na dume la ngombe lishike pembe
 
Back
Top Bottom