Mwanajeshi akamatwa kwa kusafirisha bangi gunia 12 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanajeshi akamatwa kwa kusafirisha bangi gunia 12

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Dec 9, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,407
  Trophy Points: 280
  Wanajeshi wa JWTZ wamefikishwa kizimbani kwa kukamatwa wakisafirisha bangi gunia 12 kutoka iringa kuzileta jijini DSM..
  Source: mwananchi
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Gunia 12? Kabla ya kukamatwa watakuwa walishapitisha nyingi.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wanalipwa mshahara mdogo sana
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,407
  Trophy Points: 280
  inawezekana ndioo biashara yao...au wanapeleka kambini?
   
Loading...