Mbunge Godbless Lema awa mwana maombi ya ufufuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge Godbless Lema awa mwana maombi ya ufufuo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NIMEKIMBIA CCM, Dec 8, 2011.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hv hk ktendo cha m2 kufa then unanza kumuombea ili afufuke hl jambo lmewah kutokea ktk karne h?
  Jaman kwa mwanaharakat kama lema ckutegemea kuona kama angeweza kupoteza muda wake kumuombea m2 alyekufa il afufuke,jaman namheshmu na nnamkubali sana mh godbeclema but kwa hl allolfanya eti kutaka kumfufua marehem(mke wa diwan arsha)n ujinga wa hal ya ju
  MH LEMA KUNA UWEZEKANO KUNA WATU WANAKUPOTOSHA ILI UPOTEZE CFA YAKO TAKE CARE MY BROTHER
  Source:WAPO RADIO
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Jamani hii taarifa hata mie nimeisikiliza, kuwa MHESHIMIWA fulani hakukutengi na Jamii na wale wanaojaribu kujitenga na jamii huishia kupata fedheha! Yeye ni binadamu kama Mimi (wewe sina uhakika kama ni binadamu) so social issues lazima ziwepo! Tusiwe na mawazo ya zamani au ya baadhi yenu kuwa viongozi hawaendi toilet (rejea uzi ulioanzishwa last week) This is nonsense!!!
   
 3. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wapo wapo tu!
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Tena naomba unielewe vizuri Mpwa mimi siamini katika ufufuo huu wa wanadamu lakini kama Lema anaamini, haina shida na wala haina uhusiano na CDM labda kama angekua amewaomba wafuasi wa CDM wamuunge mkono kwene maombi yake, lakini kama hajafanya hivyo mie sioni tatizo hayo ni mambo yake binafsi na Mungu wake!!! Ukiamua kumfuata ni wewe na sio Chama!!!
   
 5. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Somo sijalielewa, mtoa mada dadavua zaidi
   
 6. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,322
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Swala la imani ni ya mtu mwenyewe, kufufua mtu, kufufua wote walioko kaburini hainihusu ila akinifikia na kutaka kunishawishi kufanya hivyo ndiyo nitalalamika, sasa ndugu yangu wewe kuiita kitendo alichofanya Lema ni ya ukijinga wa hali juu, sasa wewe unamshaurije???
   
 7. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani Mada nyingine...! ujinga mtupu kabisa...! sasa Lema Kadhalalisha nini Chadema kama sio Chuki binafsi tu...,kajipange upya ukune kichwa utunge majungu mengine
   
 8. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,322
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa anajiita amekimbia ccm,kama hili kwake ni udhalilishaji wa cdm basi yampasa arudi ccm.
   
 9. G

  Gongolo Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu wanaokufa kwa mazingira ya kutatanisha mbona huwa wanarudi. Hili tendo ni la imani. Mtu aliyekufa huombewa na kama amekufa kwa njia ambayo si ya Mungu anaweza kurudi. Kwani asiporudi inakuwaje fedheha? Itakuwa amekufa kwa mpango wa Mungu ndiyo maana harudi. Mimi mwenyewe nilikuwa siamini vitu hivi lakini kuna kisa fulani nimekumbana nacho kimenifanya niamini kwamba kumbe watu wengine wanakufa kwa kuchukuliwa siyo kwa matakwa ya mwenyezi Mungu.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini Godbless Lema (CHADEMA) ametoa kali ya mwaka hapa Arusha kwa kuongoza maombi ya ufufuo kwa marehemu Bi.Shangwe Mwalusamba mke wa Katibu wa CCM wa Wilaya Bw.Mwalusamba aliyefariki ghafla kwa maumivu ya kichwa. Maombi hayo yalitokana na Lema pamoja na Diwani Alphonce Makwando kuamini kwamba mwanamke huyo hakufa katika hali ya kawaida bali ni kimiujiza ambapo kama maombi ya nguvu yangefanyika angeweza kufufuka.

  Maombi yalianzia nyumbani kwa marehemu eneo la Njiro kwa masaa matatu bila mafanikio na baadaye wakahamia katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya Mount Meru ulipokuwa umehifadhiwa mwili wa marehemu ambapo waliomba wapewe mwili na kuendeleza maombi tena kwa zaidi ya masaa sita bila mafanikio.

  Baadaye Lema alipohojiwa na wana habari alisema kuwa pamoja na maombi hayo kutozaa matunda, bado wataendelea kuomba na ipo siku Bi. Shangwe atafufuka tu.

  My take: Jamaa kabarikiwa pia kuwa na upako na kufufua wafu.
   
 11. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwani alikuwa anafanya majukumu ya chama au ya kiuharakati? Kazi kweli kweli!
   
 12. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Imani ya Lema na Chadema wapi na wapi?
   
 13. D

  DT125 JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Umechelewa kukimbia CCM tayari ulishaondolewa ufahamu na uelewa na Magamba, usipost tena mpaka Chuo cha CDM kinachojengwa kwa ufadhiri wa Sabodo kitakapokamilika CDM wakupeleke ukanolewe upya.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wakiwa nyumbani kwa marehemu Njiro Lema na wenzake walitumia masaa matatu kuomba bila mafanikio, wakaenda kuomba maiti mochwali na kuendeleza maombi pale hospitali kwa zaidi ya masaa sita bila mafanikio. Lema alipohojiwa akasema wataendelea na maombi hadi mwanamama huyo Bi.Shwangwe Mwalusamba aliyekuwa mke wa Katibu wa CCM Wilaya atakapofufuka. Ni sawa lakini, maana haya mambo ni kwa imani zaidi.
   
 15. r

  rwazi JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati Lema anapewa Ubunge tulimfahamu kuwa ni mkristo,na wakisto wanapaswa kuwaombea wafu ili wafufuke kama alivyofanya Yesu sasa kama lema naye anaamini hivyo hiyo ni hatua kubwa kiimani anastahili kupongezwa. Itakuwa ajabu kubwa tukiona wakati anaendesha siasa ndo anaombea watu wafufuke hapo atakuwa amechanganya.Jamani wana janvi, tuangalie mada zenye mantiki za kuweka hapa maana cku moja mtatuwekea kuwa jk katawaza ili aingie msilkitini.
   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hii sasa kali. Na banghe vp?
   
 17. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Imani NOT EQUAL OR EVEN EQUIVALENT TO sias.Kama Lema anaamini katika ufufuo hiyo ni imani yake.Haihusiani kabisa na Ubunge wake kisiasa
   
 18. k

  kuzou JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  inaendana kwa karne hii mwakilishi wa watu unaamini ujinga,pia inawaonyesha uwezo wa kufikiri wa kiongozi wenu
   
 19. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #19
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwakuwa mtoa mada aMEKIMBIA CCM, hakujiandaa na wala hakuhama CCM. Ndiyo maana anashangaa kuona mheshimiwa anafanya maombi ya kumwomba Mungu amfufue marahemu, kama ingekuwa ni wapiga makafara pengine angeona sawsawa. Si unajua mzoea vya kunyonga alivyo ?.:alien:
   
 20. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #20
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Lema kawaje tena anataka kufufua mtu? Kweli huyu jamaa kichwa chake kina matatizo
   
Loading...