Baadhi ya Wanafunzi wa chuo muhimbili wasimamishwa masomo

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,636
Habari,

Jana niliona Taarifa ya Habari ITV wanafunzi wakichafua hali ya hewa mbele ya Balozi na mawaziri,leo asubuhi nimesikia wanafunzi kama 58 hivi wamesimamisha,Tanzania Zaidi ya uijuavyo.

Nawasilisha
 
Naisikitikia tanganyika yangu, naamini ili panoge na wenzao waitishe mgomo endelevu mpaka wenzao warudishwe, viongozi sasa wanahujumu rasilimali wataalam ya nchi yetu. yaani madaktari to be zaidi ya 50 kwenye nchi ambayo haijajitosheleza kwa wataalam hao! wazazi tupinge kwa uwezo wetu wote!
 
Poleni wote walio simamishwa......nawatia shime wengine wote waliobaki kuendelea na mapambano mpaka kieleweke hicho chuo cha uganga kimekuwa kama kambi ya jeshi.......manyanyaso hayaishi kila kukicha!! Huyo VC profesa Palangyo ni wakufukuza kazi!! Hakuna ukombozi husio na gharama......na nimewaona mpo tayari kulipa hizo gharama just go for it!!
 
Habari,

Jana niliona Taarifa ya Habari ITV wanafunzi wakichafua hali ya hewa mbele ya Balozi na mawaziri,leo asubuhi nimesikia wanafunzi kama 58 hivi wamesimamisha,Tanzania Zaidi ya uijuavyo.

Nawasilisha

Majibu mepesi kwa hoja ngumu, SERIKALI INAENDELEA KUJIPAKA KINYESI MWILI MZIMA. kama habari hii ni ya kweli.
 
Yaani inachokifanya serkali hata sijui. Kila kukicha ina ugomvi na wanafunzi nini hasa maudhui yake? Nahisi ni kuzalisha wataalamu wasioqualify ili akina Wasira na Luhanjo waendelee kushikilia ofisi. Very painful
 
Habari,

Jana niliona Taarifa ya Habari ITV wanafunzi wakichafua hali ya hewa mbele ya Balozi na mawaziri,leo asubuhi nimesikia wanafunzi kama 58 hivi wamesimamisha,Tanzania Zaidi ya uijuavyo.

Nawasilisha

during independence day? It reminds me of Karl Marx who once said:

The ideas of the ruling class are the ruling ideas......
 
Ushauri wangu,wanafunzi wote wagome mpaka wanafunzi wote watakaporudishwa chuoni bila masharti
 
wanafunzi wa vyuo vyote tanganyika hebu kuwa kitu kimoja,waunge mkono muhimbili!
 
Back
Top Bottom