Hata iweje kauli mbiu yetu wenye dhiki uongozi 2015 ni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata iweje kauli mbiu yetu wenye dhiki uongozi 2015 ni...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by raffiki, Dec 9, 2011.

 1. r

  raffiki Senior Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <Wenye neema na wao,Sie masikini wanyonge na Dr.Salim, Magufuli na Slaa wetu>

  Hata mtoe air time kidogo kwenye media na thread za hawa waheshimiwa watendaji,lazima tubadilishe santuri sio kila siku majina yenu tuu.
  Sababu ya kuwahitaji hawa waheshimiwa tunayo ni wachapa kazi na wazalendo wa kweli, nia tunayo na uwezo wa kuwachagua tunao maana masikini ni wengi.

  Hawana mitandao waliounda ili kuingia ikulu,hawaropoki ovyo kama viongozi,hawagawi pesa kwa media au vijana,hawafanyi fitina, hawaingizi siasa makanisani na misikitini-Pamoja na yote hayo bado jamii kubwa ya watanzania inawaamini na kuwafeel wawe viongozi wakuu wao...so what next?mnataka mtushawishi tuwachagulie wenu kwa uchache wenu ili muendelee kutunyonya?
   
 2. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 701
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  apo dr salimin umechomekea! nafikiri ulimlenga slaa!
   
Loading...