Mauaji ya Arusha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya Arusha!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Dec 7, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wadau nipo hapa ndani ya hospitali ya Mount Meru dakika hii na nikashuhudia Landrover ya police ikimteremsha marehemu na kwa kuwa bado nipo hapa bila shaka nitawajuza kichotokea na ni wapi yalikotokea mauaji haya ila kwa haraka tu nimepata hbr ya kwmb amevamiwa na majambazi.

  Hapa nimemwona Kaimu kamanda wa polisi hapa Arusha Ali Mpwapwa amekuja hapa na bila shaka ni kuja kudhibitisha haya kama ni kweli na namwona ameingia humu ndani na amerudi ktk gari aina ya Landrover S/ Wagon aliyekuja naye na bila shaka ameshadhibitisha na ameshang'oa tayari na hata hii landrover iliyomleta marehemu inaondoka tayari.

  Nitawajuza wadau!
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Eeenhe???
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,882
  Trophy Points: 280
  Kuna dada ana miliki duka la dawa maeneo ya sinoni karibu na shule ya msingi themi,masaa mawili yaliyopita dada uyo kapigwa bastola ya paji la uso na kupoteza maisha akiwa ktk duka la dawa na wezi hao wameiba like one million ambayo ilikua ni ya huduma ya M-PESA iliyokua inatolewa ktk duka hilo la dawa.
  Sasa sina hakika ndo mwili uwo ama laa, endelea kudadisi hapo.
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wezi wa arusha sio wastaraabu kabisa
  wa dar wangechukua hela na kutokomea bila kumwaga damu kama sio mbishi
  dada wa watu kakosa nn jamani kustahili kifo? ndio maana wananchi hawana huruma na majambazi
   
 5. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kama hao inawezekana wamechukua 2 ili ionekane ni wezi kumbe walikuwa wametumwa kumuua,
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Jamani mil.1 tu wanathubutu kichukua uhai wa mtu?Si wangemtisha tu wakachukua pesa na kukimbia.

  Nwy apumzike salama dada wa watu.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa! Yani vifo vya hawa ndg inasikitisha sana kutokana na walivyouwawa bila hatia na kwa kuwa jana usiku nilishindwa kupata full story ya mauaji,hebu ngoja naingia mtaa wa central na bila shaka nitajuza mauaji yalivyokuwa. LAKINI INASIKITISHA SANA!
   
 8. s

  shreak Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Wakuu huu mi siamini kama ni 1m tu ndo ilifanya wamtoe roho,
  Ukiingia nyuma ya pazia utakuta labda alikuwa anatoka na mume wa mtu, siku hizi Arachuga ni mambo ya visasi hasa mapenzi ukitembea na mume/mke wa mtu ndo mambo yake hayo...unatumiwa tu vijana wa ngalelo babake kwishney.

  Dhaa! Mungu mlaze mahali pema peponi marehemu.
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  yah...hii ilikuwa live bila chenga.......mbaya zaidi ilikuwa saa mbili kasoro madakika kadhaa usiku.......r.i.p marehemu..


   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  preta unaweza kulisaidia jeshi la polisi hapo kwenye red....lol
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,538
  Likes Received: 12,796
  Trophy Points: 280
  Rip dada sa kama ni m
  tu majambazi yako labda ma3 yamekula hasara ya risasi damu ya marehem itawasakama then
  kamgao kaduchuu
  wangemchapa makofi
  mawili wanaondoka
  na hela tena mwanamke
  ,itakuwa ni "inshu" tofauti bana
   
 12. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  inahudhunisha sana, poleni mliokutwa na mkasa huu.
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,882
  Trophy Points: 280
  Wasemavyo majirani ni kwamba dada alikubali kutoa pesa kiutulivu ila kwa sababu ya uoga akateleza akaanguka sasa hapo ndo jambazi likadhani ndivyo sivyo likamshoot huyo dada.
  Ila ki ukweli silaha ambazo hazina kibali na zenye kibali zimekua nyingi sana hapa arusha, juzi mitaa ya Unga LTD kuna mtoto wa form one kateka mishkaki mitano kutoka kwa muuza chips kwa kutumia bastola.
   
 14. africa6666

  africa6666 JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 281
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  You must be joking.... Lol
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ina maana ndio nitakuwa nimepata ajira poshti......?
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160

  Duh...! Hii kali.
   
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160


  Hicho unachofikiria ni kosa kubwa. Ukisikia mtu anasaidia polisi usidhani anavalishwa gwanda halafu anaingia kazini! Ni kwata mbinyo na vichapo!
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hahahahaha....sawa wewe jidai umepinda
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii kali lakini kwa Arusha yote yanawezekana....lakini usikute ilikuwa toy
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Naona aliamua kuchekesha....
   
Loading...