Miaka 50 ninasikitika kina mama na vichanga vyao wanakufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ninasikitika kina mama na vichanga vyao wanakufa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by amkawewe, Dec 9, 2011.

 1. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wanasherekea miaka 50 ya uhuru. Je, ni upi?

  Kutoka ujinga?
  Kutoka maradhi?
  Kutoka umaskini?

  Ufisadi?
  Mateso ya wananchi?
  Njaa?

  Inauma zaidi pale watu wengine wanapokumbuka kupoteza wapendwa wao katika hali ya uzembe mfano ajali, huduma mbovu kwenye sekta ya afya, ..........

  nani miye mwenzenu yalinikuta kumpoteza kichanga ndani ya mwaka unasemwa kuwa wa kusherekea miak 50 sijui wa nchi gani na uhuru wa nini?

  TAFAKARI CHUKUA HATUA, TOA ELIMU NA DAI HAKI YAKO NA YA NDUGU NA JAMAA ZAKO. ANGALIA ULIKOTOKA NI WANGAPI HAWAWEZI KUPATA HATA HICHO AMBACHO WEWE UNAKIPATA?

  MATESO KWA SANA KIJIJINI NA MJINI.
   
 2. Glue

  Glue Senior Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwakweli inatia hasira sana kwakweli. Tukija kwenye ishu za umeme, mfumuko wa bei, kuporomoka kwa shilingi, mikataba mibovu nk vyote vinafanya maisha yawe magumu zaidi kuliko hata kabla uhuru!
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Ni jana tu kwenye TV wameonesha watoto magerezani hawana Chakula wala Maji huko vifungoni
   
 4. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Chukua hatua msaidie jirani kama Mungu anavyotuelekeza. Lakini pia tuiwajibishe serikali itumikie wananchi wake.
   
Loading...