Al-Shaabab wamedhibitiwa? Maandamano sasa kuendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al-Shaabab wamedhibitiwa? Maandamano sasa kuendelea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Duduwasha, Dec 9, 2011.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,159
  Trophy Points: 280
  Ebana hili ishio la Al-Shaabab kuwepo kwenye Maandamano tu na Sio kwenye makutaniko ya Watu Wengi haswa Uwanja wa Taifa Mkuu wetu wa Police Mbona Kimya
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Aisha Babu leo yuko gest kapata buzi jipya.
   
 3. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Binafsi sikutegemea kuwa mkesha wa miaka 50 ya uhuru utapita salama bila al shabaab kufanya tukio,hapa ninajiuliza hivi ile marufuku toka polisi ilikusudiwa kuepusha madhara au kuzuia waliokuwa mwiba kwa serikali
   
Loading...