n kwel mkuu tigo wamezid na shangaa hawa tcra wanafanya nn.hebu tuamie airtel
Airtel nao wezi tu. Nina bonus kwa ajili ya internet (ile ya kuanzia saa tano usiku hadi asubuhi 12) lakini wanakula salio bonus inabaki!
Sijawahi kukopa salio, lakini leo nimestaajabu kupata sms kuwa nimekopa sh. 1200/= na ninatakiwa kulipa 1320/=
huu ni wizi dhahiri, tume ya mawasiliano haina meno, inaacha wahuni wanaojiita wawekezaji waendelee kutubia.
Nahama tigo
mara unapiga cm ,oooh acha ujumbe wa sauti afu subiri uone moto wake..........mi nimeamia airtell
kwa wale jamaa wa epiq nation.. epiq nation