Dr. Thomas Kashilila (Assembly Clerk)

Ntambaswala

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
255
78
Huyu bwana amekuwa mtata sana kuhusiana na mambo mbalimbali ndani na je ya bunge; mfano:
  • Posho za Wabunge
  • Mkutano wa CDM na Rais
  • CDM Kususia Bunge . Huyu bwana anaongea kwa mamlaka sana na kujiamini sana. Je confidence yake inatokana na uzoefu, shule, weledi au Godfather. Kwa wanaomjua naomba na wengine tumfahamu zaidi. Kama ilishwahi postiwa thread kama hii, Mods naomba muipotezee hii, ila naomba link yake.
 
Back
Top Bottom