Viongozi wa Nchi Ya Tanzania Mnanichanganya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa Nchi Ya Tanzania Mnanichanganya...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Dec 9, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  hawa viongozi wa nchi wana nichanganya kila asubuh inapokuja.
  Sherehe ya Miaka hamsini ya UHURU iliyoandaliwa na Genge la watu fulani ili kuiba rasmali na fedha za watanzania kwa kisingizio cha sherehe...hivi hii shere ni Tanganyika au TANZANIA SIJASIKIA HATA KWENYE VYOMBO VYA HABARI,Zaidi kusikia Tanzania ina adhimisha,Tanzania ni Muungano wa zanzibar na Tanganyika.
  Kumbe tuliungana ndo tukapata uhuru?
  Jua kali.
   
Loading...